Msaada: Je naweza kusoma Masters hii?

Msaada: Je naweza kusoma Masters hii?

Sahau. Yaani katika coz ambazo zinahitaji msingi kuanzia first degree ni sheria. So hapo hata kama Mkuu wa nchi ni bro wako itakuwia vigumu. Ndo maana ukimaliza degree ya sheria kuna school of law unakazia ujuzi. Nakushauri tafuta an related coz yyt utapata but not sheria
 
Back
Top Bottom