Hali ni mbaya sana yule ya msingi Mkululu watoto wanasomea chini ya miti kwasababu ya kukosa madarasa.
Shule ipo kata ya Mkululu wilaya Masasi mkoa wa Mtwara.
Raisi tunaomba msaada wako.
Nimeshangaa sana leo nilipo pata na kufuatilia taarifa hii ya hawa wanaoitwa wazibiti ubora wa shule...baada ya kujua kazi na wajibu wao katika utendaji wao wa kazi..kumbe ni watu wenye umuhimu na...
Habari zenu wana jamvi,
Poleni na majukumu ya kutwa nzima!
Naomba kwa wenye kuelewa wanisaidie maana nimefikiria kwa upeo wangu nimekosa jibu!!Kuna kijana alikuwa jirani yangu wakati naishi Dar...
Ukiangalia vita kati ya waisraeli na wapelestina utagundua moja ya silaha wanazotumia ni historia. Hapa kila pande inajitahidi kuonyesha kuwa kihistoria wao ndio wanastahili kumiliki ardhi...
Katika mwaka 2024, Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kampasi ya Dar es Salaam kimekumbwa na changamoto kadhaa ambazo zimeleta malalamiko kutoka kwa wanafunzi na wadau mbalimbali.
Makosa haya...
Habari,
Niko busy sana na maisha, ila kuna mtoto wa dada anataka ku reseat NECTA mwaka 2025 kwakuwa hakufanya vizur mtihan wake sababu ikiwa ni kuumwa sana muda mfupi kuelekea mtihan.
Naomba...
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya ma lecturer wa chuo kikuu cha SAUT Mwanza kuwa wanapekua simu za wanafunzi upende wa messages.
Hii mara nyingi inatokea pale mwanafunzi anapoingia darasani kwa...
Kwa mliosoma chuo hiki cha SAUT kama "St Augustive" naomba kujua yafuatayo:
Je, Kimesajiliwa?
Je, Kinatoa course ya accountancy degree?
Nahitaji kuanza masomo ya account "degree". Nisije...
Naombeni kuuliza maana hapa kunawatu wanabishana mmja anasoma diploma in accountance chuo cha TIA Na mwingine DUCE bachelor of education in physics.
Ni nani anaweza kuajiliwa kwa haraka kuliko...
Wakuu,
Nahitaji msaada wenu! Nina mpango wa kusoma shahada ya mtandaoni kutoka chuo kikuu cha nje. Je, kuna yeyote mwenye uelewa kama nahitaji NOC (No Objection Certificate) kutoka TCU kwa ajili...
Habari wanajf.
Kuna rafiki yangu kachaguliwa kozi mbili vyuo vitatu, anaomba ushauri vipi a confirm.
1. Cyber security (Arusha)
2. Laboratory science in biotechnology (SUA na MUST)
Msaada...
Habari wakuu
Mimi ni muajiliwa nipo mkoa wa dar es salaam naitaji kusoma advance mwaka mmoja
Naomba mnisaidie kwa lolote mawazo yenu, mbinu , na wapi sehemu gani niende niweze kutimiza lengo...
Naombeni kuuliza hapa kuna nduguu angu anahitimu chuo kikuu kwa kozi ya bachelor of education in physics,
Je anaweza kutumia cheti cha f4 au f6 kuweza kuanza kozi nyingine mbali na hiyo
Aisee hivi unaweza kusoma computing sciences na kusoma code bila ya mfumo rasmi wa elimu kwa Tanzania na je kuanzisha financial technology company(fintech) vigezo vyake ni vipi?
*********
Wakuu za leo naomba kuuliza kwa idara ya Afya kama umemaliza ngazi ya cheti unaweza kuomba academic transcript baada ya matokeo kutoka au inatakiwa ukae mda gani ndo uapply iyo academic transcript...
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika kozi ya Bachelor of Health Services Management nina shauku ya kupata GPA ya 4.5 had 5.
Naomba ushauri wenu wataalamu nin nikazie au nifanye!
Ahsante...
Habari wakuu naombeni mimi ni CO muajiriwa serikalin kutokana na kuwa na muda mwingi kazin kwangu nimewaza kusoma kozi ya data management pale open university bika kuomba ruhusa kazin,vipi kuhusu...