Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Ni cement ipi nzuri ya kufaa kujengea nyumba ya kuishi... Huku kwetu simba cement ni bei nafuu, so nkajikuta nahitaji kuitumia ila nkahofia huenda isiwe na ubora, ndo nkaona nawaulize...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU,UTHUBUTU, KUSTAHIMILI NA UJASIRI WA MAAMUZI. ✍Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma...
3 Reactions
1 Replies
948 Views
Wana JF naomb mnisaidie jinsi ya kufungua akaunt CRDB bank pamoja na masharti yake na vigezo vyake.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu nisaidieni. Ni kweli mabenki kama crdb, nmb na nyingine zimesitisha kutoa mikopo ya biashara?!
0 Reactions
2 Replies
860 Views
chagua moja na uifanyie kazi kwako
0 Reactions
3 Replies
742 Views
mimi nimehitimu chuo katika mambo ya biashara na computer ya IT sasa katika kukaa mda mrefu kitaa nimeona nianze biashara ya kufuga kuku wa nyama kama mama yangu alivyo kuwa anafanya sasa kwa sasa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Report ya benk ya dunia (WB) ya 2016. yaonya kuwa uchumi wa taifa letu Tanzania utapolomoka karibu kwa asilimia 5% kwa mwaka huu. Kwa dalili hii inawezekana tukaipoteza nafasi ya 10 tulionayo ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau wa Biashara na Uchumi hamjambo? Le How To Become a Millionaire During The Depression June 11, 2008 by Sandra Simmons 12 Comments How To Become a Millionaire During The Depression It is a...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Uchumi unaweza ukatolewa tafsiri na maana lukuki kwa mujibu wa wabobezi katika masuala ya kiuchumi nchini na ng'ambo. Sio lengo langu kutoa maana ya neno hili lakini ili niweze eleweka kwa...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
KAMPUNI ya Mohamed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) imepigwa marufuku kuendelea kununua majani ya chai kutoka kwa wakulima wa zao hilo mkoani Mbeya na badala yake kiwanda chake kitumie majani...
3 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau si mara ya kwanza kuingia hapa na kushawishi watu wenye nia ya kuungana katika biashara ,Mimi mbali ya biashara nyingine ndogondogo ninauza CEMENT .biashara hii ni kama unauza chakula kwa...
8 Reactions
11 Replies
2K Views
Samahani nilikuwa nauliza,simu ya nokia 6700 tanzania inauzwa bei gani?nimenunua hizo simu from u.k,ila nilikuwa napenda kujua bei ya tz,ili na mimi nikiuza nisiwagonge sana au nisije uza kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari za muda huu Nina hili wazo la ku supply magazeti yale ambayo hayakununuliwa kwenye maduka ya huku mtaani kwani kuna uhitaji mkubwa. Tatizo langu kubwa ni kuwa sijajua nayapata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nimeulizwa na mtu mfano una shamba ekari 35 lenye title deed unaeza pata loan kias gani incase ukalieka dhamana,,, nmeexpress swali ka lilivo mi cna knowledge yoyote kuhusu issue za loan...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish This pair went upwards last week, testing the resistance line at 1.1300 and...
0 Reactions
0 Replies
436 Views
Wakuu naomba ushauri wenu, Kwasasa nipo Singida na kuna mahindi mengi sana huku debe hadi sh 4000. Binafsi nina mtaji wa kama milioni 6 hivi na ninataka kuifanya biashara hii, Tatizo langu ni...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Asalaam alaykum, Shaloom , Bwana Yesu asifiwe nawasalimu enyi ndugu zng katika Jf Leo nimefika apa kuomba ushauri na namna ya Kuendesha mshine ya kukatia miti (Chain Saw) Kwa anaejua gharama...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Habari wakuu, Kwa wadau wenye uelewa juu ya hili, Kuna Jamaa anataka kujenga Private Villa moja hapa Zanzibar na atatumia kukodisha akiwa hayupo. Alikuwa nataka kujua kama kuna Local Bank ambayo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau, ninajihusisha kuendesha tovuti ya masomo kwa ajili ya wanafunzi wa sekondari. Kitu kinachoniumiza kuwa sasa ni mwaka 1 toka website Hii iwe hewani sijafaidika na kitu chochote (sina...
0 Reactions
2 Replies
981 Views
Imagine tangu jana tarehe 08/09 hatuna meli hata moja. Kama leo wala hata sijisumbui kwenda. Taarifa zinasema kuna moja itaingia usiku tarehe 09/09/ ... haijwahi kutokea hii tangu niingie...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…