Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nokia 6700

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by kisukari, Oct 5, 2010.

 1. kisukari

  kisukari JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,344
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Samahani nilikuwa nauliza,simu ya nokia 6700 tanzania inauzwa bei gani?nimenunua hizo simu from u.k,ila nilikuwa napenda kujua bei ya tz,ili na mimi nikiuza nisiwagonge sana au nisije uza kwa hasara,kwani wateja wengine kabla hawajanunua,wanaenda dukani kuangalia bei,na mimi kwa sasa sipo tz
   
 2. kisu cha ngariba

  kisu cha ngariba JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2016
  Joined: Jun 21, 2016
  Messages: 7,450
  Likes Received: 9,222
  Trophy Points: 280
  Bado unazo hizo simu?
   
Loading...