kim prince msofe
Senior Member
- Feb 27, 2015
- 154
- 44
Wana JF naomb mnisaidie jinsi ya kufungua akaunt CRDB bank pamoja na masharti yake na vigezo vyake.
Alichoshauri mkuu ni sawa kbisa kwakuw sisi htuna maelezo mazuri y kukup n kukuridhish zaid ya hao CRBD wenyew nashaur n naung mkon pia alichoshauri utandu..Tembelea tawi la CRDB lilipo karibu na wewe kiongozi utapewa utaratibu bila malipo bure kabisa nenda
Okay kakaNB; Passport 2 white background colour,,ID,, 20000/=