Jinsi gani nitaweza kuingiza kipato kupitia social entrepreneurship

apprentice1997

Senior Member
Jun 8, 2016
107
99
Habari wadau, ninajihusisha kuendesha tovuti ya masomo kwa ajili ya wanafunzi wa sekondari. Kitu kinachoniumiza kuwa sasa ni mwaka 1 toka website Hii iwe hewani sijafaidika na kitu chochote (sina kipato) ukilinganisha na jina na umaarufu. Naombeni ushauri nitumie njia gani kuweza kupata fund za kussuport hii project, maana sasa Nina idea nyingi tu ila nashindwa kuziimplement sababu sina hela na kiasi Fulani nimekata tamaa na sipendi kupoteza muda zaidi na huku kazi hainilipi. Nimefikiria kuwafata viongozi wa mkoa wa serikali kwa maana ya mbunge, DC na rc je watanisaidia kufanikisha azma yangu. Nina uwezo wa kuandika proposals kidogo je endapo nitafanya hivi nitafanikiwa. Asante
 
Jaribu mkuu usijaribu kukata tamaa nenda kwa hao viongozi wanaweza kukusaidia
 
Saw a TE="sayoo, post: 17554816, member: 259797"]Jaribu mkuu usijaribu kukata tamaa nenda kwa hao viongozi wanaweza kukusaidia[/QUOTE]
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom