Na, Mwl.Pasaka Osunga
Leo ningependa kukumbusha msemo ambao Ken Levine aliwahi kusema-“We all make choices, but in the end our choices make us.” Akimaanisha kuwa wote tunaweza kufanya maamuzi...
Asalaam aleykum!
Wanabodi kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu,mimi nina kazi lakini siku zote mshahara hautoshi kwahiyo nimeamua kujiingiza kwenye ujasiriamali.Kwa mtu yeyote ambaye ana friji...
Manages sales, purchasing, hr, payroll, , assests, bank reconciliations, appraisals, multiple POS points, financial reports. The software can be customized to fit your business needs. Contact us...
Wadau nimesikia baadhi ya Wabunge wakipongeza Wizara ya Nishati na Madini kwa kushusha viwango vya kuunganisha umeme. Naomba kwa yeyote mwenye viwango vipya anipatie tafadhali. Hii itatusaidia kwa...
Salama Wana Jamii forum habari za shughuli. Naomba kupewa mchanganuo upi una faida kuweka pesa ktk fixed deposits account au kununua shares ktk makampuni kama Tanzania Cigarette company ipi...
AUS200
Dominant bias: Bullish
AUS200 started September on a bearish note, but ended it on a bullish note. From September 1 to 13, the market dipped by 2500 points from. Since then, the market...
POlen kwa majukumu wakuu.
Ninahitaji kuanzisha biashara ya oil (Engine oil) za pikipiki. Naomba kwa mwenye uelewa juu ya upatikanaji wake kwa maduka ya jumlaanisaidie na wapi naweza kununua...
Habar wanajamvi, Nipo dar na ndio nimeanza kaz nimedunduliza nimepata 1m. naombeni mnishauri biashara ambayo italingana na huo mtaji pia haitahitaji ungalizi sana maana nachelewa sana kutoka kazini
Wakuu heri ya mwaka, nimepata huo mtaji na ninawaza kwa mkoa wa Dar es Salaam ninunue bajaji ama kirikuu. Naomba wazoefu na pia wenye uelewa juu ya hili;
1. Je, ni ipi itanilipa vizuri?
2. Je...
GOLD (XAUUSD)
Dominant Bias: Bearish
Gold is bearish in the short-term, but neutral in the long-term. In the 4-hour chart, price trended downwards last week, to end September 2016 on a bearish...
Mfano wewe ni mjasiriamli na unataka kuuza bidha nje ya nchi kwa kutumia hii mifumo miwili ya malipo wa kwanza wa paypal (ambao ni third party) na mfumo wa moja kwa moja ambao mtu anaingiza...
kumekuwa na tabia mbaya sana premier bet arusha ofisi ya Philips,,,unakuta mtu mfano amebet mkeka wake ameshinda laki mbili
ukiondoka kwenda kufata mpunga wako hapo ndio kero inaanza..utaambiwa...
I want to believe that you had a wonderful weekend.But I'm glad you're reading this... Because
it means that you still have time to check out what's happening into new and hot Tanzania's oil...
Wakuu kama kuna anaeifahamu hii kampuni kwa undani naomba anijulishe uhalali na ukweli wake kwa ujumla, kwa maelezo yao ni njia nzuri sana ya kutengeneza pesa. tafadhali mssada
Habarini wandugu....Nafikiria kufanya biashara ya matunda ila ni kusafirisha kwenda nje na pia kuagiza baadhi ya matunda ambayo hayapatikani kwa wingi kama Tufaa(Apple) je nini kinachohitajika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.