Habari wakuu naombeni msaada juu ya vitu vinavyotakiwa katika kuprint T-shirt pamoja na gharama ya kuvipata vifaa ,pamoja na changamoto zinazojitokeza kwa wale wazoefu WA hii biashara...
jamani siku hizi kumeibuka website nyingi zikisema MAKE MONEY ONLINE kuna ukweli wowote kuhusu iki kitu maana wanasema wanalipa kwa dola ukisoma matangazo habar n.k kuna mtu yoyote ambaye...
Wakurugenzi habari zenu!
Nimekuwa nikishawishika kujaribu hiki kilimo lakini sijui ABCs za hii shughuli. Kwa ufupi mimi nina shamba langu halo liko Kasulu kando ya mto Ruchugi, shamba hili...
Udhibiti wa chakula na dawa hapa ndo mahali pake,usalama wa walaji upo mikononi mwao na viwanda vingi vidogo vimefungiwa kwa sababu ndogondogo za kiusalama kwa mlaji
kama viwanda vya alizeti...
Natoa mikopo kwa watu binafsi wenye shida za dharula.uwe na bond yenye gharama sawa ama zaidi ya mkopo utakao. Maximum ni milioni 3.muda wa kurejesha ni kati ya mwezi mmoja na miezi mitatu. Riba...
Habari wana JF,
Ningependa kuzijuwa fursa zakuwa na company, mfano company inayojiusisha na ufugaji wa kuku wa nyama na na kuku wa mayai. [emoji120] [emoji120]
MFUMUKO wa Bei wa Taifa kwa mwezi Septemba, 2016 umepungua hadi asilimia 4.5 kutoka asilimia 4.9 ilivyokuwa mwezi Agosti 2016.
Hayo yabebainishwa na Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za...
Habarini wana jamvi!
Inshu ni kwamba nina frem yaani duka lililo sajiliwa kila kitu kwa maana leseni ya biashara pamoja na mapato TRA, sasa kuna jamaa amejenga kibanda kidogo pembeni yangu...
Hbari wakuu,
nimekuwa na maawazo ya kuanzisha biashara ya kufyatua matofari na bidhaa nyingine zinazo zalishwa kwa kutumia simenti, nina vifaa vingi vya kufyatulia matofali.
nina fahamu kuwa...
Nahitaji msaada wa kujua vifuatavyo
1.Maana ya thamani ya fedha
2.Vipengele vinavoangaliwa kujua thaman ya pesa
3.Thamani ya fedha ya Tanzania
4.Tofauti ya fedha ya nchi ya africa mashariki na...
REVELATION SECURITY SERVICES COMPANY tunatoa huduma za vifaa vya ulinzi na walinzi popote Tanzania..Karibuni kwa ulinzi wa majumbani, maofisini na hata sehemu zetu za biashara.Tumedhamiria kukupa...
Ninaomba wataalamu wa uchumi na mambo ya fedha wanisaidie katika hili.
Nilibahatika kwenda Thailand mwaka jana na nilikuwa na kama USD 600 ambazo jamaa alinituma nimnunulie laptop.Nilifika katika...
Habar yenu wakuu, hali ya ku manage pesa sio nzuri sana kwa upande wangu, yano pesa ikikaa bank lazima nika withdraw..ni kweli naiotea kidogo katika side hustle, staki kuwekeza mshahara...naomba...
ESSENCE CONDULT LTD.
Kwa wale waliopo ndani na nje ya Tanzania wenye Nia ya kuanzisha makampuni na biashara ndogo na kubwa lakini hawajuj waanzie wapi essence consult ndio jibu lako.
Na wale...
Wasaalam wakuu,
Husika na title hapo juu. Kuna tafiti ndogo binafsi nafanya kuhusiana na supply and demand za kokoto nyeusi (black granite) za ujenzi.
Ningependa ushirikiano wenu kuhusu bei zake...
Taasisi ya TradeMark East Africa, TMEA, imeahidi kuisaidia Zanzibar, katika kukuza biashara na kuondoa vikwazo vya Biashara kwa bidhaa za Zanzibar, ili ziweze kuingia kwenye soko ya nchi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.