Wakuu heri ya mwaka, nimepata huo mtaji na ninawaza kwa mkoa wa Dar es Salaam ninunue bajaji ama kirikuu. Naomba wazoefu na pia wenye uelewa juu ya hili;
1. Je, ni ipi itanilipa vizuri?
2. Je, ipi inachangamoto chache kwa Dar?
3. Profitability yake ikoje?
4. Nina mpango wa kumtafta driver je mikataba hua inakuaje?
NATANGULIZA SHUKRANI
1. Je, ni ipi itanilipa vizuri?
2. Je, ipi inachangamoto chache kwa Dar?
3. Profitability yake ikoje?
4. Nina mpango wa kumtafta driver je mikataba hua inakuaje?
NATANGULIZA SHUKRANI