Benki gani inasupport kupokea malipo kwa paypal au visa/master cards

Freelancer

JF-Expert Member
Sep 22, 2008
2,965
2,141
Mfano wewe ni mjasiriamli na unataka kuuza bidha nje ya nchi kwa kutumia hii mifumo miwili ya malipo wa kwanza wa paypal (ambao ni third party) na mfumo wa moja kwa moja ambao mtu anaingiza details zake za card kufanya malipo. Ni benki gani ambayo ina fees ndogo na ambayo ipo efficient. Mtu yeyote mwenye uelewa wa jambo hili naomba atiririke. Nimeshaona thread nyingi humu lakini zinazongumzia tu jinsi ya kununua sijaona ambayo inaongelea jinsi ya kupokea malipo

Asanteni kwa ushirikiano wenu..

NB: Nimeshatumia mifumo hii kwa kulipia tu mfano kununua bidhaa ila sijawahi kuitumia kwa ajili ya kupokea malipo.
 
Back
Top Bottom