Fixed deposits Vs Shares on Company

Come27

JF-Expert Member
Dec 1, 2012
7,694
7,364
Salama Wana Jamii forum habari za shughuli. Naomba kupewa mchanganuo upi una faida kuweka pesa ktk fixed deposits account au kununua shares ktk makampuni kama Tanzania Cigarette company ipi inafaida nawasilisha maana ktk benki Kuna changamoto zake nataka kujua apo

Nawasilisha, nategemea michango yenu yenye hekima na kujenga
 
inategemea na payback period unayoitaka kwa hyo investment yako ...for short term ningeshauri uchukue tu shares na kama unataka uinvest in longterm Fixed deposit since shares are much more risk na zinafluctuate sana depending na market
 
Kuna factor nyingi sana za kuangalia, kama unahela ambazo hazina kazi ila una mpango nazo let's say baada ya muda then fixed deposit ni nzuri zaidi
Ila kama unampango wa muda mrefu then share ndo yenyewe sema inabidi uwe makini kutafuta company ambayo inaingiza faida ili na wewe ufaidike manake shida ya share n kuwa kampuni ikifilisika/ikipata hasara na share zinashuka thaman so unapata hasara
Zuri kuliko yote n kuwekeza kwenye biashara yako tafuta biashara ambayo unaipenda (passion) na utajifunza kuifanya intime, so anza kidogo kidogo ili ujifunze mwenendo wa hiyo biashara
Ila its guaranteed ukiifanya baada ya muda lazima biashara ikulipe we wekeza hela na muda wa kutosha
 
Maana Kuna makampuni kama crdb bank plc Naona wapo vizuri ingawa Tanzania. Katika uchumi unaweza ukadondoka faster. Maana uchumi auko vizuri sana
 
Kwa Tanzania binafsi nashauri uizungushe hela yako ili izidi kukuzalishia na kubaki na thamani nzuri kidogo.

Ukisema uweke kwenye fixed deposits si sawa. Hujaweka swala la Inflation Rate.
 
Kwa Tanzania binafsi nashauri uizungushe hela yako ili izidi kukuzalishia na kubaki na thamani nzuri kidogo.

Ukisema uweke kwenye fixed deposits si sawa. Hujaweka swala la Inflation Rate.
Kuzungusha katika biashara ipi?
 
Salama Wana Jamii forum habari za shughuli. Naomba kupewa mchanganuo upi una faida kuweka pesa ktk fixed deposits account au kununua shares ktk makampuni kama Tanzania Cigarette company ipi inafaida nawasilisha maana ktk benki Kuna changamoto zake nataka kujua apo

Nawasilisha, nategemea michango yenu yenye hekima na kujenga
Wazito wakufikiri ndio huwa huweka fedha zao kwenye fixed deposite, kamawewe mjanja nenda kanunue share DSE zinalipa kuliko kuweka fedha benk. Watafute wataalamu wa masuala ya Shares ili wakupe analysis za kuweza kujua share zipi zinalipa kwa sasa.
 
Back
Top Bottom