Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habarini wapendwa, kama nilivoandika kichwa cha habari hapo juu, nahitaji kupata ujuzi juu ya utengenezaji sabuni za kuoshea vyooni
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Neutral This pair remains neutral in spite of strong volatility witnessed on other...
0 Reactions
0 Replies
537 Views
Habari zenu wadau Wataalam wa uchumi naomba tusaidiane hapa Tuambiane faida na hasara za kuwekeza pesa kwenye utt miccrofinance ikiwa kama tawi la utt Ahsanteni sana
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Mwenye utaalama wa kutengeneza BUSINESS CARD nzuri ......please INBOX
0 Reactions
2 Replies
770 Views
Za jioni ndugu jamaa na marafiki. Naomben msaada wenu wakina. Nina mtaji wa 250,000/= nataka kufanya biashara ya kahawa na nipo Dar es salaam. Kabla sijaanza ningependa kuuliza maswali...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Msaada, nataka kununua Gari aina ya successed au Probox hapa Dar zinapatika show room gani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani mimi ninayeandika makala hii, ni mgeni humu Jamii forum, hii ni post yangu ya kwanza hivyo kama nitakuwa pengine nimekwenda kinyume na utaratibu, nadhani mtanisahihisha kwani badala ya...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Ninatafuta taarifa za vitu hivi kwani nimeamua kuwa mjasiliamali zaidi kuliko kufikiria ajira. 1. Hapa Tanzania ni wapi wanalima kwa wingi Vitunguu Saumu, Dengu na Ngano na bei pia kama...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
An Accurate Friday Strategy for Forex and Binary Options Revolutionize Your Trading Career The purpose of this strategy is to show you how to trade most important fundamental figures that come...
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Watu wengi wamekuwa wakiniuliza swali la napotaka kuanza kufanya Branding natakiwa nifanye kitu gani?, kitu cha kwanza ambacho ni msaada mkubwa kwako kwanza unatakiwa uijue Branding yenyewe ni...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
katika majengo mengi ya viwanda huwa kunakuwa na vifaa kama feni vinafungwa juu ya paa ili kutoa hewa nje, naomba kujua vinaitwaje na upatikanaji wake pamoja na bei ikoje
0 Reactions
0 Replies
698 Views
Wapendwa poleni na hongereni kwa majukum.... Wadau naomba mnisaidie upatikanaji wa mashariti haya na gharama zake kwa mtaji wa million mbili(2M) 1. BARCODES YA BIDHAA 2. TRA RECIT 3. LESSEN...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Mimi Ni mwajiriwa serikalini mwaka huu nimetimiza miaka mitatu kwenye ajira hiyo, Nimekuwa kila nikipata kiji mshahara kangu nawekeza kwenye biashara Na sasa biashara imeshamiri wasi wasi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Binafsi nahisi tozo katika Benki zetu hapa ndani zimekuwa nyingi na nyingine ghali kiasi kuwa inakatisha tamaa kuweka hela huko Mfano WA tozo; Kuangalia salio Kutoa hela dirishani at kwenye ETM...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Wadau, Tusaidiane kukosoa tangazo hili la biashara kwenye web page ya ATCL maana halijakaa poa linaonekana kama "uchafu" na linatia aibu kulinganisha na ndege yetu ilivyo nzuri ya kupendeza na...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Kweli hamna lisilowezekana chini ya jua .Kitendo cha kumtambua Said Salim Bakhresa na kuamua kumpatia ardhi bure kwa ajili ya kujenga kiwanda cha kusindika matunda ni dhahiri kimeonyesha kuwa Rais...
2 Reactions
0 Replies
749 Views
Leo nlipita ktk bank 5 tofauti kuulizia taarifa za mikopo kwa wajasiliamali:niliwatembelea CRDB,NMB,TPB.Barclays na MUCOBA, kifuatacho ndicho nilichokipata: 1. CRDB,NMB,TPB na MUCOBA Hawa jamaa...
5 Reactions
63 Replies
8K Views
Ni rafiki yangu mjasiriamali. Anauza vitu vinavyotumika kwa mahafali. Vitu hivyo ni kama mataji, maua, kadi, n.k. Kwa msaada wenu, andika jina la shule na tarehe ya mahafali ili huyu kijana...
0 Reactions
2 Replies
779 Views
Nataka kuagiza gari toka Japan, Kuna gari inaitwa VW golf touran ambayo nime vutiwa nayo na bei take ni reasonable sana. Tatizo ni kwamba watu wangu wa karibu wana nitisha kwamba spea...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wanajamvi na wasalimia wote.. Wanajamvi naombeni kunitajia supermarkets zote zinazopatikana dar na hitaji la kuwafikia pale walipo kwa hitaji la kuweza kufanya negotiations na kusa ply kwao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom