Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kwa wale wauguzi au wenye taasisi mbalimbali zinazo saidia watu mbali mbali katika sehemu za mbali. Wanauwezo wa kutumia Clinic hii katika shughuli zao kwa maana ina hamishika na pia ina kidhi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi everybody The committed bussiness partner is needed to join hands with Tanzania local company. The company has full registration and permanent office specialised on OHS Consultancy, Supply of...
1 Reactions
0 Replies
504 Views
Oriflame ni nini???? Ni kampuni iliyotokea sweden iloanzishwa kwa lengo la kufanya mauzo ya moja kwa moja. Ni nini mauzo ya moja kwa moja?????? Maana yake ni kufanya manunuzi kwa bei ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajamvi habarini za jioni. Nina mtaji wa milion 2 niko ARUSHA. Je ni bidhaa gani naweza kutoa kenya na kuuzaa Tanzania au kutoa Tanzania kwenda kenya nikatengeneza profit. Karibuni mawazo yenu...
0 Reactions
0 Replies
830 Views
Habarini wakuu n njia zipi nitumie ili nisajili biashara yangu niwenatoa mikopo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Naomba msaada kwa walio na ujuzi au uzoefu katika kampuni za ujenzi, binafsi nataka kufungua kampuni ya ujenzi ya class seven ila sijui naanzia wapi na natakiwa nifanye nini...
3 Reactions
9 Replies
6K Views
Wakuu kwa yeyote aliyefika South Sudan naomba at uambie Fursa ambazo ameziona huko... Mana Tanzania changamoto Sana..
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mganga halisi anayejua mambo ya mapenzi anahitajika sasa hivi. Tafadhali asikuwe ni tapeli. Tumechoshwa na matapeli
0 Reactions
1 Replies
643 Views
Wadau Nina kiasi tajwa hapo huu nahitaji kufungua kiduka cha spea za pikipiki sanlg. Naombeni ABC za hii biashara zaidi ...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
jipatie mayai yakanga yenye uhakika wa kupata vifaranga unaweza ni sms wasp kama sipo hewan mana nilipo net inasumbua kias tumia 0717 209059 KARIBUN SANA
1 Reactions
0 Replies
759 Views
Jamani naombeni kujua bei ya Mashine ya Juice ya Miwa kwa hapa Dar na sehemu zinapo patikana.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini za mchana wana janvi nina mipango ya kufungua duka la vyakula vya mifugo , naombeni ushauri na hata maboresho na nini nifanye kabla na baada...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Juzi nilienda Bank moja ya hawa jirani zetu wakenya,kwa lengo la kufungua account ili niwe nachukulia mshahara wangu kupitia benki hyo,baada yakuridhishwa na huduma zao,mwanzo nilikuwa benki ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Amani iwe kwenu wakuu. Mwezi mmoja ulipita nilikuja kuomba ushauri ili niweze kujiari.Nilikua mwajiriwa wa kampuni binafsi sasa nataka kujitegemea kwa kufanya biashara ile ile km ya mwajiri wangu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa ambaye ni mzoefu wa biashara hii mimi nipo mkoani nahitaji kupata pipi moja kwa moja kwa moja wanaotoa pipi kutoka nje ya nchi
0 Reactions
3 Replies
968 Views
Jamani nina sehemu ya kuchimba minerals za gypsum sasa nahitaji kujua soko lake ntalipata wapi na huwa wananunua kwa tani au? Naombeni ufahamu kwa hayo, maana nina eneo kuubwa sana lina hizo product
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanajamii wenzangu. Niko hapa kuwaomba ushauri wa kina kuhusu hizi biashara nilizo zifikiria kuzifanya. 1) kuuza nguo za kike na bithaa nyingine za nguo na vitambaa kutoka asia. 2) kuuza...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wananzengo. Nipo kwenye hatua ya kuweka paa banda langu hapa mbeya mjini. Nimefanya research ndogo ya hizo product kutoka viwanda vya kukunja mabati hapa mjini mbeya. Ila bado nipo njia...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Jamani naomba msaada kwa ambae anajua soko zuri la madini ya Green tourmaline na Ruby tuchekiane 0788597816
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu ni biashara ipi mzuri ya kufungua kati ya spea za magari na dera ? .. Ingawaje zote mbili mimi nazipenda, ila kwa ishauri wenu ipi bora ?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom