Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Ndugu mimi ni mtumishi wa umma pia ni mjasilia mali katika swala zima la usafishaji Ninaomba kujua kama kuna watu binafsi au kampuni zinazo toa mkopo hasa wa gali aina ya Hiace kwa mashariti nafuu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Msaada mwenye kujua website ambayo naweza kununua online international flight airticket very cheap naomba anisaidie!
0 Reactions
4 Replies
921 Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish This pair moved sideways last week, and then traded upwards on Friday...
0 Reactions
0 Replies
431 Views
Habarini wandugu kutokana na hali halisi ya maisha hapa tz n kweli Uchumi umekaa vibaya kwenye baadhi ya watu tulio wengi ebu tujuzane/tupeane taarifa ni wapi haswa tunaweza enda na kupata mikopo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu Nguvu kazi ya Taifa. Nimepata safari ya kwenda Comoros, Seychelles, Mauritius, Madagascar. Ila ndo mara ya kwanza kwenda huko. Napenda kufahamu kuhusu gharama za usafiri na maisha ya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jaman kwa mweny kujua juu ya biashara ya kununua bia company ya BALIMI na kuuza huwa ikoje na unapataje mzigo na kwa bei gan msaada plz kwa mweny kujua
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Watu wengi wenye nyumba zenye madirisha ya alluminium wanapata tatizo la mbu kujaa ndani. Hili linatokana na sababu zifuatazo. 1. Nyavu kuchoka na na kuwa na matundu makubwa. 2. Mafundi kutoweka...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Youthnize.com Earn 10$ per 10 seconds tasks, Earn 2000$ monthly - Online Job A chance to make money!!!!! Just a click on the link above and make the link more worthy than you...
0 Reactions
0 Replies
424 Views
Wana jamii amani kwenu. Kutokana na serikali kuagiza fedha zote za taasisi kubwa zipitie na kuhifadhiwa benki kuu ,ni dhahiri mabenki yamekosa fedha nyingi za kujiendesha maana taasisi zote...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Taifa linalia na ufisadi, Wapo watu wanaotuhumiwa kwa vitendo vya ufisadi wa mali za umma. Kuna watu waliochukua fedha za umma na kwenda kulewea na kuzitoroshea ng'ambo zisijulikane, lakini wako...
0 Reactions
2 Replies
756 Views
Watanzania wenzangu,kumiliki biashara/kampuni (kwa maana ya limited company) na kujiajiri ndiyo siri ya mafanikio kwa Tanzania ya leo.Chukua hatua na ufungue kampuni yako na ujiiunue kiuchumi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Aya wafanyabiashara na walaji kuna bi dagaa wabichi wa mwanza.Ni wasafi na weupe pee.Tunauza kuanzia kilo tano kwa bei ya 5500 kwa kilo,Weka order yako mapema.ukihitaji naomba uje DM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bei makubaliano , kama unahitaji kuiona nipm namba yako nikutumie picha watsup,
0 Reactions
4 Replies
928 Views
Habari wana JF nataka kuanzisha kiwanda kdg chakutengeneza chakula cha kuku wa kienyeji malawi,kienyeji pure,chotara,kari nk.......ninamtaji wa milion 6 mwenye ideal na biashara hii msaada pls
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 20 “It sounds attractive to try and make a quick buck, but like anything else, real money is made by slowly compounding your returns.” -...
0 Reactions
0 Replies
719 Views
Nawezaje kupata nembo (logo) ambayo hutumiwa na wafanyabiashara wengi kam utambulisho wa bidhaa zao,kwa mwenye kujua procedure za uptkanaji wa hii kitu naomb anijuze.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Today evening (27th October, 2016 ) TTCL in collaboration with long term partner Huawei Technologies have launched 4.5G LTE service to redefine new user experience to give power, speed & better...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kampuni yetu tumeamua kuibadilisha toka unlimited to limited vivyo tunaitajika kuandaa taarifa za kifedha AUDITED . Naomba msaada wa kupata CPA ambaye anaweza kuniandalia mahesabu . naomba tuma...
0 Reactions
3 Replies
948 Views
Wadau naombeni ushauri Nina million 5 je ninunue boda boda 2 au bajaji moja kwa biashara?wale wenye uzoefu naomba ushauri
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom