Juzi nilienda Bank moja ya hawa jirani zetu wakenya,kwa lengo la kufungua account ili niwe nachukulia mshahara wangu kupitia benki hyo,baada yakuridhishwa na huduma zao,mwanzo nilikuwa benki ya...
Amani iwe kwenu wakuu.
Mwezi mmoja ulipita nilikuja kuomba ushauri ili niweze kujiari.Nilikua mwajiriwa wa kampuni binafsi sasa nataka kujitegemea kwa kufanya biashara ile ile km ya mwajiri wangu...
Jamani nina sehemu ya kuchimba minerals za gypsum sasa nahitaji kujua soko lake ntalipata wapi na huwa wananunua kwa tani au? Naombeni ufahamu kwa hayo, maana nina eneo kuubwa sana lina hizo product
Habari wanajamii wenzangu. Niko hapa kuwaomba ushauri wa kina kuhusu hizi biashara nilizo zifikiria kuzifanya.
1) kuuza nguo za kike na bithaa nyingine za nguo na vitambaa kutoka asia.
2) kuuza...
Habari wananzengo.
Nipo kwenye hatua ya kuweka paa banda langu hapa mbeya mjini.
Nimefanya research ndogo ya hizo product kutoka viwanda vya kukunja mabati hapa mjini mbeya. Ila bado nipo njia...
Habari wakuu..
Nina biashara inayonipatia 10000 kila siku..je nitaweza vp kupata mkopo kutoka benk au taasisi nyingine yeyote ya kifedha kwa kutumia biashara hii..
Nb
Ni biashara ya frame(static)...
Tunahitaji mianzi(bamboo trees) ya porini isiyotumika kuvuna ulanzi(pombe) urefu wa mita 8 kuendelea Na kipenyo (diameter) nje mm 10 chini ,8mm juu Na ndani mm 2 kama inapatikana eneo ulipo...
Habari wakuu naombeni msaada wenu kwa wale wazoefu wa hii biashara ya vifaa (spea) za simu naomba mnisadie kunitajia aina gani ya vifaa au spea za simu ambazo ni lazima niwe nazo kwenye hilo duka...
Kama kichwa cha habari kisemavyo ningelipenda kufahamu utengenezaji wa mishumaa materials manunuzi utengenezaji mpaka faida toka kwa mwenye uelewa asanteni
Salaam Wadau!
Nimekuwa nikifuatilia taarifa mitandaoni kuhusu hizi nauli za ndege za AIR Tanzania kati ya Mwanza na Bukoba ambapo kwenda tu itakuwa shs 140000. halafu Mwanza to Dar tshs. 160000...
Wakuu,
Msaada wa mawazo tafadhali. Ninampango wa kusajili kampuni BRELA ila nimepata kigugumizi kwenye jina litakalo-reflect biashara nyingi zinazofanywa na kampuni yangu (mfano: mradi wa shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.