Habari wanajamii wenzangu. Niko hapa kuwaomba ushauri wa kina kuhusu hizi biashara nilizo zifikiria kuzifanya.
1) kuuza nguo za kike na bithaa nyingine za nguo na vitambaa kutoka asia.
2) kuuza vyombo vya jikoni kutoka nje hasa asia.
3) kuuza matofali na pavements na bidhaa zinginezo kama grilling nk.
Nawakilisha wadau kwenu. Mchango wenu nitaupokea kwa mikono miwili. Hata kama kuna idea zingine zaidi ya hizi niko tayari kuzipokea.
Asanteni