Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Hii Imenigusa..... *most will not even bother to read this* 1. Most Africans are religious, but not spiritual. I don`t know why I started here but let`s move on anyway. Religion is a significant...
11 Reactions
14 Replies
6K Views
Habari.. Kwa yoyote mwenye jamaa au kama ni yeye ambae anaweza kuchoma chama na virieties alike..naomba tuwasiliane kwa namba 0655784688..only serious persons are needed na mwenye kujua sio...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimejifunza vingi kwa watanzania wengi wanapenda kushabikia vitu vya kutoka nje, Mimi napenda kuwakumbusha watanzania wenzangu tujivunie vyetu. Jajojo mills niwatengenezaji na wasambazaji wa unga...
0 Reactions
0 Replies
686 Views
Wasalaaam! Ni po kwa masikitiko juu ya aina hii ya uchaw kwenye biashara,nakumbuka siku moja jamaangu mmoja anafanya biashara ya duka la madawa na M-Pesa alikutwa na msala wa kupoteza laki nne...
0 Reactions
72 Replies
22K Views
Habari ya jioni watu wangu wa nguvu JF Kuna msaada nina uhitaji kwenu kwa wanaofahamu nini kifanyike ili kuwasaidia hawa watu wameniuliza maswali 1. Mmoja anasema ana kipaji cha kuimba ila...
0 Reactions
2 Replies
776 Views
Dear all, Salamu. Naomba mwenye ufahamu anijuze kwa sababu nataka kuanza kununua Hisa pale DSE (including IPO) pia kununua Treasury bonds. hivi hawa brokers huwa wanatoza fee kiasi gani? Je...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu JF , nategemea kufanya safari ya kikazi kutembelea maeneo ya Lusaka, Ndola na Kitwe. Naomba kufahamisha masuala anuai juu ya safari kwa maeneo hayo. Kufuatana na uzoefu binafsi. Hotel/...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
In trading we have a concept known as alpha – that is the measure of skill we bring to the investment process as measured by comparison to a given benchmark. Traditionally we think of generating...
0 Reactions
0 Replies
498 Views
Nina wazo langu la biashara ambalo lipo katika hatua za awali kabisa ambapo itachukua mpaka miezi 4 kukaa sawa. Sasa nafikiria kusajiri jina la biashara ili iwe mwanzo tu kulifanyia kazi wazo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Huwa najiuliza ni kwa nini kipindi hiki biashara za Networks Business zimeongezeka kwa wingi tofauti na hapo awali. Je ni inamkomboa mwananchi kutoka umaskini kweli au inamdidimiza? Na Je inafaida...
0 Reactions
0 Replies
642 Views
ukiangalia hali ya uchumi pound iko juu sana sijui kwani au ndio uchumi kupanda
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Habari zenu tena wadau wetu wa GREDO MEDIA Tanzania, GREDO MEDIA Tanzania ni mmiliki na muandaaji wa Campus Magazine. Jarida jipya na la kisasa linalotarajiwa kuanza kutoka kila mwezi hivi...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
ukiyaona yamechongoka katika pembe mbalimbali ni kama vipande tofautiii HALAFU vimeungana kwa pamoja nahitaji kujua ni AINA gani ya madini na thamani yake katika soko la dunia
1 Reactions
31 Replies
13K Views
Habari wadau, Kuna tetesi sana mtaani kua makampuni ya simu yameamriwa na serikali kuuza asilimia 25 ya hisa zao na yataanza kufanya hivyo January Mwakani. Je, taarifa hizo ni sahihi? Na iwapo...
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Habari za siku wana Jamii. Natafuta restaurant ya kukodi. Pia mwenye taarifa na kuwepo kwa tenda ya kuendesha canteen ya chuo, ama taasisi yoyote anijuze. Asanteni sana.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kenya Railways has ordered 56 trains to operate on the standard gauge railway (SGR) ahead of the June 2017 completion of the Mombasa-Nairobi section. Among the orders are eight shunting, five...
3 Reactions
0 Replies
3K Views
Nadiriki kusema haya kulingana na hali niionayo sasa hivi. Pia sababu sasa hivi kwa sabab sasa hivi ili kupanda juu lazima ufanye ttukio sitashangaa maandishi haya MTU akataka kupandia cheo...
0 Reactions
0 Replies
629 Views
Wakuu. Mimi ni mtaalamu wa usindikaji wa chakula. Nimesomea BSc Food science and technology , SUA. Nahitaji mtu wa kufanya biashara katika hizi zifuatazo. 1. Pombe aina ya wine ila siitaji wine...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom