Salam wanajukwaa. Husika ni kichwa cha habari, Mimi ni kijana mpambanaji na ni muda Sasa nafikiria kuhusu hii biashara ya uchomeleaji.
Ila mpaka Sasa sijajua iko ikoje, naamini hapa jf wapo...
Wakuu,
Uzi huu ni kwa ajili ya kutaja miji midogomidogo ndani ya nchi yetu ambayo ina vibe kubwa kama miji mikubwa na ina fursa za kibiashara lakini haivumi wala kujulikana sana na watu.
Mimi...
Habari wadau, nilikua naomba msaada kwa yoyote mwenye ufahamu wa taratibu za kupata kibali cha uchimbaji mchanga mkoa wa pwani wilaya ya mkuranga.Nina eneo la ekari 3 ambalo linamchanga wa kutosha...
Nini manitiki ya wakala mdogo wa pesa anayeanza biadhara kuwa attached.ana.wakala mkuu na.pesa akipata anapunjwa anagawana.na.wakaala.mkuu.
Kazi ya.msingi.ya.wakala.mkuu.ni.nini.kwenye...
Maoni ya wadau kuhusu swali langu la aina ya marketing ninayopaswa kuitumia na yenye nguvu hasa kwa bidhaa mpya kabisa ni DOOR TO DOOR MARKETING.
Nitawaletea mrejesho juu ya maendeleo na mchakato...
Personally nimefaidika na madini mengi humu JF kwa ajili ya maswala mbali mbali, sio vibaya na mimi kushare info na wana jamii wafaidike pia.
Nimekulia katika familia yenye b'ness ya hardware...
Nimekuwa nikikutana na kadhaa moja pale ninapokwenda kukunua bidhaa dukani na kudai risiti ya EFD huwa naambiwa, Ukitaka risiti ya EFD bidhaa hiyo bei yake inapanda otherwise tukuandikie tu au...
Habari wanajamii wa JamiiForums,
Napenda kuwajulisha kuwa nimeandika kitabu kipya kwa lugha ya Kiswahili kinachoitwa “Mbinu Bora za Ufundi wa AC”kilichoandikwa na mimi Mohamedy Joseph Kamau...
Hello Guys, it's been a while
Wajumbe Hi😉....anyways
Naombeni ushauri wa dharula je ninaweza rise 1.5M kufikia 4M Kwa 2 moths? Je ni rotation gani inaweza nikomboa? Maana nina project ndani ya...
Ndugu zangu naitaji ushauli wenu. Nina 25 million TZshillings naitaji kuanzisha biashara ambayo inaweza ikanipa faida kubwa ndani ya mwaka mmoja. Yani biashara yoyote ambayo inatembea kwa kasi...
Leo nmekutana na habari kuhusu Tanzania kuingia mkataba wa uchimbaji Helium, kwamba Tanzania tutapata 17% tu huku mwekezaji akipata zaidi ya 83%
Nikiangalia kiundani mkataba huu wa Helium One...
Kufungua duka la vipodozi ni fursa nzuri ya biashara, hasa kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya bidhaa za urembo. Hata hivyo, kabla ya kuanza kuuza, unatakiwa kuwa na leseni ya biashara. Leseni...
Wataalam wa business naombeni ushauri wenu kwa hapa Dar es Salaam ni biashara gani nzuri ya uzalishaji naweza ifanya yani niwe mzalishaji bidhaa sio kuchuuza.
Niliwaza kutenengeza pedi lakini...
Kuna uzi niliweka humu jamiiforums Nilimruhusu msaidizi auze bidhaa zake ndogo ila zinamlipa kuzidi mshahara wake. Je, nifanye maamuzi gani?
Summary / Muhtasari:
Msaidizi aliniomba aanze kuuza...
Habari wadau, naomba msaada wenu. Kama kuna mtu anayefahamu vizuri Igawa au Ubaruku, hasa kuhusu fursa za biashara, naomba msaada wa taarifa.
Nina ndoto ya kuhamia katika maeneo hayo kwa ajili ya...
Habari wana jf, poleni na majukumu
Naombeni kufahamu kuhusu biashara ya kuuza viatu vya kiume .
Mm natamani sana mwaka huu kwanzia mwezi wa kumi kufanya biashara ya viatu vya kiuwe nilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.