Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wiki ya mwisho wa mwezi wa Saba nilikua namsaidia mteja wangu kufanya process za kuuza Kampuni yake, haya ni mambo ya kuzingatia ukitaka Kuuza Kampuni; 1. Elewa unauza Nini Kuna mambo kadhaa...
0 Reactions
0 Replies
271 Views
Kama kuna mtu ana uzoefu na biashara ya uuzaji wa nguo za kike za ndani kama vile chupi, sidiria, tight etc naomba anifungue natamani kuijua hii biashara imekua ni biashara nlokua naiwaza siku...
6 Reactions
68 Replies
69K Views
🌱 Ewe Mtumishi, Wekeza Leo kwa Ajili ya Kesho Yako! Kila mwezi unapopokea mshahara wako, jiulize: Je, sehemu ya mshahara huu inafanya kazi kwa ajili ya maisha yangu ya baadaye? Watumishi wengi...
2 Reactions
2 Replies
736 Views
Kama unaingiza pesa kupitia mtandaoni tupe mbinu na sisi. =============== Nafanya usimamizi wa Mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram na TikTok kwa gharama ya 150,000 kwa mwezi. Karibu...
3 Reactions
10 Replies
601 Views
Kama unataka kuuza pombe au vinywaji vingine kwa rejareja (retail), jumla (wholesale), kuanzisha bar au kwenye grocery, ni lazima uwe na leseni halali inayokubalika kisheria. Bila leseni hiyo...
0 Reactions
1 Replies
895 Views
Bei maelewano Ilala - Dsm 0767953873
0 Reactions
7 Replies
435 Views
KAMA UNA WI-FI UNLIMITED INTERNET NIITE NIKUWEKEE APPLICATION KWENYE TV YAKO UTAKAYOWEZA KUANGALIA CHANNEL ZOTE DUNIANI za michezo na burudani NA SITE ZOTE ZA MOVIE NA SERIES LATEST KWA GHARAMA...
0 Reactions
7 Replies
779 Views
Nauza router ya airtel reason kwakuwa sina matumizi nayo tena bei 50000 0781 493401 piga sasa
0 Reactions
4 Replies
376 Views
Nina ishi Japani Nataka kuleta baadhi ya mizigo Tanzania (haifiki kontena). Nahitaji kampuni itakayo nisafirishia na ku clear mizigo yangu bandarini. Kama kuna mtu mwenye kampuni yupo humu Au...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Mfanya biashara wa Arusha Je, biashara yako inakutana na changamoto katika kudeal na mambo ya TRA, usimamizi wa fedha, uhasibu, au masuala ya kodi? Tunatoa huduma za ushauri wa kitaalamu...
0 Reactions
0 Replies
628 Views
Wakuu za Usiku huu Leo katika Harakati za Kilimo wakati Jembe la Trekta linapita kuna sehemu likakutana na Jiwe gumu sanaa na kuna alama ya zege la kutisha baada ya Kuuliza wazee wakaniambia Hapa...
12 Reactions
32 Replies
2K Views
Hii kifaa inaitwa VR BOX, Nimeitafuta kwa mda mrefu sasa bila mafanikio. Leo nipo darasalama tena nipo mjini kabisa. Mwenye dukani kwake anauza anipe taarifa.
0 Reactions
3 Replies
389 Views
Habari ndugu zangu nlikua naomba kuuliza kwa mtaji wa M1 kama kijana ni biashara gani unaweza kuifanya na ikawa na mzunguko mkubwa wa pesa??
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Igweeeee Nimekaa nimewaza na kuwazua nifingue biashara gani ili maisha yasonge mbele hapa jijini Wazo pekee ambalo naona linaweza kuwa tofauti kidogo na zile biashara za kuigana mwishowe kuanza...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
A House to Call Home – For Sale! 📍 Location: Iyumbu , Dodoma 📐 Plot Size: 1,500 SQM 🏠 Structure: 5 Spacious Bedrooms Servant Quarters (Self-contained) Large Living Room Dining Area...
0 Reactions
0 Replies
333 Views
𝗛𝗮𝗯𝗮𝗿𝗶 𝘇𝗮 𝗺𝗮𝗷𝘂𝗸𝘂𝗺𝘂 𝘄𝗮𝗻𝗮𝗰𝗵𝗮𝗺𝗮 𝘄𝗮 �J𝗮𝗺𝗶𝗶F𝗼𝗿𝘂𝗺𝘀, 𝗻𝗶𝗹𝗶𝘁𝗮𝗸𝗮 𝗺𝘀𝗮𝗮𝗱𝗮 𝗸𝘂𝘁𝗼𝗸𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘂 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗷𝘂𝗮 𝗸𝘂𝗵𝘂𝘀𝘂 𝗨𝗧𝗧 𝗔𝗠𝗜𝗦 𝗺𝗮𝗮𝗻𝗮 𝗻𝗶𝗺𝗲𝗽𝗲𝗻𝗱𝗮 𝗸𝘂𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗲𝗸𝗲𝘇𝗮 𝗵𝘂𝗸𝗼 𝗹𝗮𝗸𝗶𝗻𝗶 𝗰𝗵𝗮𝗻𝗴𝗮𝗺𝗼𝘁𝗼 𝗻𝗶 𝗸𝘄𝗮𝗺𝗯𝗮 𝗯𝗮𝗱𝗼 𝘀𝗶𝗷𝗮𝗷𝘂𝗮 𝘇𝗮𝗶𝗱𝗶 𝗸𝘂𝗵𝘂𝘀𝘂 𝘄𝗮𝗼...
0 Reactions
5 Replies
362 Views
Thinkers, Do we grow this plant in Tanzania?
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Wateja ndio damu ya biashara bila wao hakuna mauzo, hakuna faida, hakuna ukuaji. Ikiwa unataka kuipanua biashara yako na kuongeza mapato, kuna njia kuu nne za msingi ambazo kila mfanyabiashara...
0 Reactions
0 Replies
340 Views
RAIS SAMIA: MRADI WA MKUJU KUIWEKA TANZANIA KWENYE RAMANI YA URANI DUNIANI ✅️ Azindua Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Urani Namtumbo- Ruvuma ✅️ Asema Tanzania kuwa miongoni mwa nchi 10...
0 Reactions
1 Replies
344 Views
Hebu tuchambue vipi "MADE IN CHINA" imeleta taharuki na dhana potofu hadi watu wanahangaika bila sababu na kupoteza pesa Nyingi. 🤔 1. Mfano mzuri ni ving’amuzi vya Azam TV! Ving’amuzi vya Azam...
8 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom