Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

HABARI ZENU WANA JF. Namshukuru Mungu kwa mawazo yenu ya kuhusu sabuni nami nameingia kwenye hiyo biashara kuanza hatua za mwanzo kabisa kuwenda kumuona supply wa mashine kupata bei na kuweka...
1 Reactions
6 Replies
7K Views
Pamoja na kuipongeza serikali kwa kuanza ujenzi wa reli ya standard gauge ambayo treni zake zitakuwa za Umeme, najiuliza huo umeme wa uhakika upo? Wenzetu nchi zilizoendelea wanatumia umeme wa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Share za ACACIA zazidi kuporomoka baada ya TRA kupeleka TAX invoice ya more than Tsh 450.4 trilioni ikiwa ni malimbikizo ya kodi, riba na adhabu kati ya mwaka 2000-2017...
5 Reactions
109 Replies
9K Views
Nyumba za serikali ziliuzwa kwa bei ya ubuyu. Thamani tu ya ardhi kutokana na maeneo zilipokuwa zimejengwa ni kubwa kuliko hata majengo yenyewe. Rais Magufuli ni wazi kuwa analifahamu hili hasa...
2 Reactions
1 Replies
745 Views
Hivi ikasafiri team ya wataalam pamoja na yale macontena kwenda huko wanakochembua, Au sisi Tanzania tusafirisha tukachembua na kupata kiasi halisi cha dhahabu si mjadala umeisha? Baada ya hapa...
0 Reactions
0 Replies
719 Views
Habari za kupambana n majukumu ya siku!!! Mm Kama kijana wa kitanzania mwenye afya timamu.Kama mfanyabiashala wa kati ambae riziki yangu c haba kwa kweli. Nimekaa na kutafakali sana mpaka sasa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Inashangaza kuona afisa wa TRA anakukamata na kukutoza faini kisha anakipa risiti ya kuandikwa kwa mkono. Ivi TRA mnatuona wananchi kama mazuzu siyo?
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa mwenye uhitaji wa Sungura wanapatikana. Kwa mawasiliano zaidi. Tuwasiliane 0789857595 0718957595
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Makampuni ya simu za kiganjani yamekuwa kero kwa wateja wake kwa kutowatendea haki, ni kwa kutoa huduma duni. Kuna kampuni inaongoza kwa usumbufu kwa wateja wake, imekuwa dhaifu sana kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
896 Views
Wadau! Naomba kufahamu soko la mbegu ya vitunguu ndani na nje ya nchi. Naomba kufahamu uhitaji na bei katika maeneo husika.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mpaka sasa nazani hatujaelewa kwa nini Wakina Bil wali Drop Chuo. Wakina Mark Zuckerberg. Hawa jamaa na wengine wengi wao tiyari wakiwa vyuoni walisha anza kuwaza nje ya wanavyo fundishwa...
7 Reactions
60 Replies
6K Views
Ninapo sema telephone business naongelea biashara ya kuendesha kwa simu, wewe ukiwa unawatumikia watu wengine. Kuna telephone Farming na telephone businiess. TELEPHONE BUSINESS. Hiki ni...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu waungwana! Mimi ni mwajiriwa wa serikali, lakini kwa kipindi kirefu sana nimekuwa nikitamani kujihusisha na biashara walau kukuza kipato cha familia. Bahati mbaya sijawahi kujaribu...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Kujipima maendeleo kupitia wengine inaweza kukudumaza ukarelax hasa pale unapohisi unafanya cha maana kwakuwa tu kuna watu umewazidi, usichofahamu hata kama umewazidi watu kwa maana ya kushindwa...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavosema location nzuri ipo kwa ajili ya kufungua maabara ya kupimia watu malaria, UTI, typhoid n.k eneo hilo kuna dispensary moja lakin wananchi wote hawana imani nayo...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Babu wa Loliondo kwangu atabakia kama mtu alie kuwa na akili ya kipekee kabisa. Babu alikaa akawaza sana akaona asije kufa masikini. Babu hakutaka afe masikini kama wengine akaonelea aje na Idea...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari zenu, Ni matumaini yangu ni wazima wa afya njema, kimya kingi ni kutokana na majukumu tu. Nilikuwa na safari ya kuelekea Singida kikazi, mwezi huu. Hivyo basi, wale wazoefu wa huko wanipe...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish On EURUSD, bull was the clear winner last week. Price went upwards by 210 pips, breaking the multi-month high at 1.1600...
1 Reactions
0 Replies
459 Views
Habari za leo ndugu zangu wa jamii forums, nina changamoto inayonikabili kuhusu matumizi ya PayPal. Kuna mzigo wa thamani kubwa kidogo nataka kuagiza toka Thailand na muuzaji amependekeza nilipe...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…