Tatizo sio elimu zetu tatizo ni sisi kushindwa kuwaza nje ya Box

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,913
Mpaka sasa nazani hatujaelewa kwa nini Wakina Bil wali Drop Chuo.
Wakina Mark Zuckerberg. Hawa jamaa na wengine wengi wao tiyari wakiwa vyuoni walisha anza kuwaza nje ya wanavyo fundishwa.

Wenzetu akisha anza kuwaza nje ya anacho fundishwa Haraka haraka husepa ili asipoteze muda yaani Walimu wanafundisha kuelekea Kusini wao wanawaza kuelejea Kaskazini.

KIBONGOBONGO SASA
Sosi tunaamini kwamba ukisomea Udakitari basi piga ua galagaza unapaswa kwenda kuwa Dakitari.

- Ukisomea IT basi lazima uwe na laptop yao na ofisi.
- Ukisomea Animal sayansi basi unapaswa kuwa kwenye mifugo.
- Ukisomea Procurement lazima uwe kwenye Mastoo kama afisa Ugavi.

HATUELEWI HAYA
Dakitari wa Binadamu anaweza maliza na kaanzisha kampuni yake ya Usafiri wa mabasi ila katika usafiri wa mabasi mbele ya safari akaamua kuja kivingine na mabasi ya kubebea wagonjwa pekee yaani mabasi yenye vitanda.
Atatumia sehemu ndogo alio fundishwa hasa kwenye kusafirisha wagonjwa.

Kwamba IT anaweza kuuza karanga lakini kwenye kuuza akaona Adevelop Program au njia ya yeye kuuza karanga kwa utofauti kabisa.

Kwamba Animal Sayansi anaweza baada ya kuhitimu akafungua Microfinance yake ya kutoa mikopo lakini yeye kwa sababu alisomea Nutrion ya Mifugo ili kutatua changamoto za mifugo akawa anatoa mikopo kwa wafugaji wa mifugo pekee ili wanunue vyakula vya mifugo. anafanya hivyo kwa sababu anajua fika mambo ya nutrion na shida wanayo pata Mifugo.

Kwamba Dakitari wa Binadamu baada ya kuhitimu anaweza kwenda kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji na kwenye kilimo akalima mazao pia ya kuweza kuwasaidia wagonjwa na akawa anawauzia sana wagonjwa na kwa sababu ana Idea za nutrition ya binadamu..

Hapo ndo kukariri kunapo chukua nafasi kubwa sana ye Elimu zetu.
KUFIKIRI TOFAUTI NI DHAMBI KUBWA MNO KWA SISI WASOMI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi wanapenda kusema Bill alidrop ili kujipa moyo kua kukosa elimu siyo mwisho wa maisha.

Bill hakudrop kwakua hana akili alidrop kwakua masomo aliyoyataka yeye hayakua yakifundishwa Havard hivyo alikua anajiona yeye ni mkubwa kushinda Havard.

Pia Bill kwao kulikua na pesa, hayo makarakacha yote aliyoyatengeneza hapo mwanzo ni pesa za mzee wake.

Someni historia jamani. Usikamate kapointi kamoja tu kua jamaa alidrop, nenda ukajue kwanini alidrop.
 
Hakuna anaye jipa moyo hapo.

Hahahaha wangapi wanasoma vitu wasivyo vipenda ila wanakomaa navyo kwa sababu hakuna namna?

Ishu sio Kudrop ishu ni hata huku Bongo wapo wanao uona mambo tofauti wakiwa chuoni ila wanaogopa.

Na Hakuna anaye jipa moyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi wanapenda kusema Bill alidrop ili kujipa moyo kua kukosa elimu siyo mwisho wa maisha.

Bill hakudrop kwakua hana akili alidrop kwakua masomo aliyoyataka yeye hayakua yakifundishwa Havard hivyo alikua anajiona yeye ni mkubwa kushinda Havard.

Pia Bill kwao kulikua na pesa, hayo makarakacha yote aliyoyatengeneza hapo mwanzo ni pesa za mzee wake.

Someni historia jamani. Usikamate kapointi kamoja tu kua jamaa alidrop, nenda ukajue kwanini alidrop.
Kulikuwa na pesa how much?pesa hata sh 10,000/ ni.pesa

Acha kikariri kwamba kwenu mnapesa basi ni Bilioni.

Sh 1000/ tu inatosha kubadili maisha na historia ya mtu.

Stiill hapa naona kukariri tu, hakuna kingine hapa yale yele tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demand n willingness and ability bas kwa tanzania hii kuna watu wengi sana willingness kubwa ya kufanya vitu mbali na wanavyovisomea mashulen mpaka vyuon lakin tatizo n ability hapa ndio pana shida hakuna asiejua mazingira ya kiafrika yalivyo kila kizazi kinatafuta mkate wake tofaut na hao tunaolinganishwa nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna anaye jipa moyo hapo.

Hahahaha wangapi wanasoma vitu wasivyo vipenda ila wanakomaa navyo kwa sababu hakuna namna?...

Sent using Jamii Forums mobile app

Hili jibu lako la kwanza.
Lete hoja usishambulie maandishi.

Umemalizia na hakuna anayejipa moyo.

Kulikuwa na pesa how much?pesa hata sh 10,000/ ni.pesa

Acha kikariri kwamba kwenu mnapesa basi ni Bilioni.
....

Sent using Jamii Forums mobile app

Hili jibu lako la pili. Kujibu hoja yangu moja mara mbili ni uthibitisho kua vyanzo vyako viwili, Mark na Bill, haujavisoma vizuri hivyo haujui kabisa historia zao.

Bill anaanza kudevelop makorokocho yake nyakati ambazo kwenu kukiwa na kompyuta ni mna uwezo, na kwao walikua nayo.

Pia Havard hua hawaendi maskini mzee, its either una akili sana au una fedha. Bill alikua makundi yote hayo.
 
Watu wengi wanapenda kusema Bill alidrop ili kujipa moyo kua kukosa elimu siyo mwisho wa maisha.

Bill hakudrop kwakua hana akili alidrop kwakua masomo aliyoyataka yeye hayakua yakifundishwa Havard hivyo alikua anajiona yeye ni mkubwa kushinda Havard.

Pia Bill kwao kulikua na pesa, hayo makarakacha yote aliyoyatengeneza hapo mwanzo ni pesa za mzee wake.

Someni historia jamani. Usikamate kapointi kamoja tu kua jamaa alidrop, nenda ukajue kwanini alidrop.
kweli kabisa wanapotosha sana watu, kama kweli ni mjasiriamali mzuri alifanta nini university ? kwa nini asinge drop out secondary school ? mtu yupo mwaka wa pili university hana elimu kweli ? hiyo elimu haijamasaidia kweli ?

La kwanza TUNAOMBA KUJUA ELIMU YA MTOA MADA kuanzia hapo tunaweza kuelewana msipotoshe watu
 
kweli kabisa wanapotosha sana watu, kama kweli ni mjasiriamali mzuri alifanta nini university ? kwa nini asinge drop out secondary school ? mtu yupo mwaka wa pili university hana elimu kweli ? hiyo elimu haijamasaidia kweli ?
Unailiza kwa nini idrop chuo na si secondary? Swali la kichekeche.

Yes ameamua kudrop Chuo aliamua yeye hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demand n willingness and ability bas kwa tanzania hii kuna watu wengi sana willingness kubwa ya kufanya vitu mbali na wanavyovisomea mashulen mpaka vyuon lakin tatizo n ability hapa ndio pana shida hakuna asiejua mazingira ya kiafrika yalivyo kila kizazi kinatafuta mkate wake tofaut na hao tunaolinganishwa nao

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo umejibu vyema mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili jibu lako la kwanza.
Lete hoja usishambulie maandishi.

Umemalizia na hakuna anayejipa moyo.

Hili jibu lako la pili. Kujibu hoja yangu moja mara mbili ni uthibitisho kua vyanzo vyako viwili, Mark na Bill, haujavisoma vizuri hivyo haujui kabisa historia zao.

Bill anaanza kudevelop makorokocho yake nyakati ambazo kwenu kukiwa na kompyuta ni mna uwezo, na kwao walikua nayo.

Pia Havard hua hawaendi maskini mzee, its either una akili sana au una fedha. Bill alikua makundi yote hayo.
I dont have time

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demand n willingness and ability bas kwa tanzania hii kuna watu wengi sana willingness kubwa ya kufanya vitu mbali na wanavyovisomea mashulen mpaka vyuon lakin tatizo n ability hapa ndio pana shida hakuna asiejua mazingira ya kiafrika yalivyo kila kizazi kinatafuta mkate wake tofaut na hao tunaolinganishwa nao

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ishu sio Mazingira au Maisha magumu.

Ukiangalia hata Wavumbuzi wengi walikiwa na Maisha Magumu ujue hata Magharibi miaka ya nyuma walikuwa na life Gumu.

Na kwenye Ugumu ndo kuna udadisi mkubwa sana.

Kwenye maisha magumu au mazingira Magumu ndo vipaji hujitokeza.

Mfano wakati wa Vita kuu ya II ya Dunia maisha yalijuwa Magumu sana Ulaya lakini kuna watu wali jitokeza kipindi hicho na kupambana vilivyo na maisha hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom