ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,042
- 6,295
Habari za leo ndugu zangu wa jamii forums, nina changamoto inayonikabili kuhusu matumizi ya PayPal.
Kuna mzigo wa thamani kubwa kidogo nataka kuagiza toka Thailand na muuzaji amependekeza nilipe kwa kupitia PayPal. Naomba kujuzwa je usalama pesa yangu unakuaje?
Endapo mzigo hautafika baada ya siku tulizo kubaliana naweza fungua dispute na pesa yangu kurudishiwa? Nitashukuru sana kwa michango yenu chanya.
Sent using Jamii Forums mobile app