Kwanza niwasalimu nyote mlio fungua uzi huu kwa heshima mliyo onesha kwani hamkujua nini nimeandika ila natunaini hamta jutia.
Leo napenda tuangalie busara na maarifa yapatikanayo katika vitabu...
Habari zenu,
Nipo Dar es Salaam na nina misaada nataka kutoa kwa watoto yatima (na pampers labda kwa ajili ya hospitali?) ila sijui pa kwenda. Nahitaji kufahamu ni wapi ninapoweza kupata taarifa...
Habari za sahiz .ningependa kujua HV hii biashara ya cable TV IPO kihalali (tcra ) wameiifhinisha? Maana ninachoona ni kama wanawanyonya weny makampun ya ving'amuzi(Azam,zuku, nk) na kama IPO...
Habari wadau,
Nataka kujua kwa mtu mwenye ufahamu na biashara ya kuleta mifugo sokoni..i.e vinguguti.
Soko la wanyama kama ng'ombe au mbuzi kwa mzoefu anipe mchanganuo kuwasafirisha mpaka kuja...
Mkuu wa masuala ya Teknolojia na Ufundi Zantel, Larry Arthur (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kisiwani Zanzibar hivi karibuni kuhusu uboreshwaji wa mtandao wa...
Wadau kuna suala napenda niliweke kwenu mnisaidie mawazo.
Kume kua kuna ongezeko la Kampuni Nyingi Duniani Kama si Tanzania kujiita " Group" yani kwa Mfano : Bakhresa Group of Companies , Virgin...
Maxcom Africa ni kampuni iliyoanzishwa mnamo mwaka 2010 nchini Tanzania, Maarufu Kwa jina la maxmalipo. Kampuni hii imejikita katika kutoa huduma za ulipaji wa bili na tozo mbalimbali Kwa kutumia...
Habari za jioni wadau. Juzi tarehe 17 mwezi huu wa name nilifanya muamala kupitia huduma ya vodacom Mpesa , sasa tangu iyo majuzi hela haikwenda nilikokusudia na kila nikiwapigia huduma kwa...
Habarin za wikendi wanajamvi, mi sio mtu wa kuposti sana thread ila leo nimeona niombe ushauri au wazo kutoka kwenu wadau. I mean nimesajili company na taratibu zote za kuisajili zimeshamalizika...
Please,
Ninayo biashara ambayo watu wanaweza kuinunua online, ninahitaji kutengeneza app nzuri, ninawezeje kuuza vitu vyangu kwa kutumia simu yangu tu? Wenye uelewa, nipeni procedure na namna ya...
Serikali imechukua hatua kufufua shirika mama TTCL ; Kushindana na Makapuni mengine ya simu
Chakushangaza katika market strategy ; uwa mtu anaingia sokoni kwa njia mbili
1. Cost
2. Unique of the...