Fursa nzuri ya hela kwa watanzania

clarkkent

New Member
Mar 23, 2017
1
0
D9 CLUB NI KAMPUNI YENYE WATAALAMU WA KUNUNUA NA KUUZA HISA HASWA ZA MICHEZO (SPORTS TRADING)

SPORTS TRADING ni biashara ya kuuza na kununua hisa za michezo kimataifa ambapo mwanachama anapata faida kila wiki kulingana na hisa zake kwenye kampuni na kukuza pato lake na taifa pia.

Ndani ya D9 CLUB kuna njia mbili za kufanya kazi na kupata faida bila kuathiri majukumu yako ya kila siku nazo

a) kuwekeza hisa zako na kupata faida kwa kila wiki

b) unaweza kufungua akaunti yako kwa dollar 50 tu na ukaanza kufundisha wengine na kupata faida kupitia wao baada ya kujiunga na hisa hizo

ZIFUATAZO NI HISA ZIPATIKANAZO NDANI YA D9 CLUB

-Ndani ya D9 CLUB kuna makundi manne ya hisa na gharama zake kwa kila kifurushi

1.BRONZE zinapatikana kwa dollar $307 sawa na Tsh 675,000/=.

2.SILVER zinapatikana kwa dollar $561 sawa na Tsh 1,234,000/=

3.GOLD zinapatikana kwa dollar $1070 sawa na Tsh 2,354,000/=

4.GOLD+ zinapatikana kwa dollar $2086 sawa na Tsh 4,600,000/=

YAFUATAYO NI MAPATO YA KILA WIKI KWA KILA HISA ZA MWANACHAMA

1.BRONZE unalipwa dollar $12.75 sawa na Tsh 28,000/= kwa kila wiki kwa wiki 52

2.SILVER unalipwa dollar $27.75 sawa na Tsh 61,000/= kwa kila wiki kwa wiki 52

3.GOLD unalipwa dollar 51 sawa na Tsh 112,000/= kwa kila wiki kwa wiki 52

4.GOLD+ unalipwa dollar $170 sawa na Tsh 374,000/= kwa kila wiki kwa wiki 52

Zingatia kila mwanachama anatozwa dollar $50 kama service charge kwa mwezi kutoka kwenye akaunti yake

YAFUATAYO NI MAPATO YA KILA MWANACHAMA KWA MWEZI BAADA YA MAKATO YA MWEZI

Akaunti zote D9 club hukatwa dollar $50 bila kujali ukubwa wa kifurushi chako kwa mwezi

1.BRONZE> $12.75×4wiki= $51-50=$1 sawa na Tsh 2,200/= kwa mwezi

2.SILVER > $27.75×4wiki=$111-50=$61 sawa na Tsh 134,000/=kwa mwezi

3.GOLD >
$51×4wiki= $204-50=$154 sawa na Tsh 338,000/= kwa mwezi

4.GOLD+>
$170×4wiki =$680-50=$630 sawa na Tsh 1,386,000/= kwa mwezi

zingatia malipo yote haya hufanyika kwa dollar tu

NAMNA YA KUTOA PESA KWENYE AKAUNTI YA D9 CLUB KWENDA AKAUNTI YAKO YA KAWAIDA

Zipo njia kuu nne za kutolea pesa kwene akaunti ya D9 CLUB nazo ni kama ifuatavyo
a)Bit coin (XAPO)
b)Skrill
c)Neteller
d) Box base
njia ya ziada ni kutumia member to member method

Pia kwenye D9 club waweza kufungua akaunti uwezavyo kulingana na nguvu ya mtaji wako

Kwa maelezo zaidi na elimu kuhusu ukombozi huu tembelea www.d9clube.com au www.d9africa.com

Huku kwetu lugha yetu ni dollar za kila j3 karibu sana.
Kwa mawasiliano zaidi 0716642304
 
Mkuu naweza kukucheki uniunganishe..
Nilikua najichanga mtaji nishapata $2080 naogopa nisije kuanza kuzitafuna bure..
Nakupata wapi...
 
Hizi upatu zinaondoa udadisi kabisa. Vijana kwa sasa wanaamini wanaweza tawala Kifedha kupitia Upatu na Kamari
 
Kama mnataka mali, mtayapata shambani. Msipende kitonga wazee
 
Acha kuwatia kitanzi wenzio ww hu mchezo ushekufa kitambo
 
Mkuu naweza kukucheki uniunganishe..
Nilikua najichanga mtaji nishapata $2080 naogopa nisije kuanza kuzitafuna bure..
Nakupata wapi...

pole dogo huu uchafu ulicollapse watu waliliwa sana wengine waliokopa mkopo ili wajiunge mali zikauzwa,wengine waliachwa na waume zao kwani walichukua pesa za akiba wakidhani watarudisha na wengine walijiua kwa kujinyonga,kunywa sumu na hata kujichoma kisu
 
huu mchezo kuna rafk angu alijiunga kwa mil 4.5 alikopa benki akawa anakatwa katika mshahara wake

tehehhe

walikuwa wanalipa kila ijumaa (au j3)

sasa jamaa kapokea wiki tatu tu magumashi yakaanzaa..

na kila mwisho wa wiki walikuwa wanatoa pesa za dola ambazo ukizibadili kwa tz sh ni kuanzia laki tatu unusu

sasa hivi kila nkimuliza ananificha ila nadhani kaliwa
 
Back
Top Bottom