Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Msaada wa ndugu hizo pesa za zimbabwe bado zinatumika ,na je ? Kama zinatuka ukichenji bongo sh ngap Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Watu wengi wanaajiri kwa sababu tofauti, wengine kwakuwa wanapenda, wengine ajira ngumu , mazingira n.k Kuna vijana wengi ambao wapo mitaani hawajui pakunzia , ila kikubwa safari ya kujiajiri...
19 Reactions
19 Replies
6K Views
Wakuu, Nilianzisha biashara ya nguo lakini soko limekuwa gumu sana nilikuwa nachukua nguo K/koo napeleka mikoani hasahasa Morogoro ila biashara ni ngumu huko mzigo hautembei kabisa mauzo madogo...
1 Reactions
33 Replies
9K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hali ya maisha sasa hivi imekuwa ni tofauti, makampuni yanabana matumizi hivyo nasisi lazima tubane matumizi. Hizi ni mbinu unazoweza kuzitumia kubana matumizi 1. ukifanya maamuzi ya kuishi...
14 Reactions
34 Replies
9K Views
SIO KILA MTU ANASTAHILI KUSAIDIWA WENGINE WANATAKA WAKUSHUSHE CHINI. Karibu msomaji!! Ivi ulishawai kuona unafanya biashara yako vizuri na inaendelea vizuri kabisa na kukuingizia pesa. Sasa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wana jamii forum,nngependa kujua kuhusu biashara ya unga wa mahindi nje ya mipaka ya Tanzania kama Kenya,Congo na Sudan. Naomba kujua legal basis,Market na profitability ya biashara hiyo...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu, I want to start a business in Arusha so nahitaji sehemu ambayo ina watu wengi sana kama stendi. Biashara ninayoanziaha ni ya chakula. Karibuni mwenye kujuana na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani naomba kujibiwa, eti ni benki gani nzuri kufungua account ya biashara? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
821 Views
HELLOW Poleni wote wanaopenda mabadiliko chanya katika maisha yao ya sasa na ya baadae lakini pia wapenda mabadiliko katika maisha yao kwa mihangaiko ya siku nzima.... Humu duniani kila siku...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Tittle:Maonyesho Nane Nane kanda ya kaskazini yadoda Wadau wa Nane Nane kanda ya Kaskazini walalamikia hatua ya mkuu wa mkoa wa Arusha kuingilia na kutoa maelekezo ya kuwa umiza washiriki na...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
GOLD (XAUUSD) Dominant Bias: Bullish Gold went downwards in June, but went upwards in July, thus recovering some of the losses sustained in June. In July, a low of 1204.53 was reached, while a...
0 Reactions
2 Replies
677 Views
Nmemfatilia kwa karibu treatment za afisa mkopo wa tawi la Mbeya Herieth kaberenge , nmeona jinsi anavyowanyanyasa, kuwatesa na hata kuwaweka chini ya ulinzi wateja wanaochelewesha Mikopo.siamin...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama upo dodoma na unahitaji mkopo wa dharura fanya kuni DM tusaidiane. Sent from my Blackberry DTEK70 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wadau,leo nimeona tuliangalie hili suala la kuondolewa kwa CDA kwenye kuustawisha mji Wa Dodoma na nafasi yake kuchukuliwa na manispaa, Hapo kwenye CDA naomba wale Wa Dodoma watupatie mafanikio au...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari Wakuu, Nahitaji kufungua biashara ya muziki ili kukuza kipato changu na kutoa ajira pia. Lengo ni kupiga muziki kwenye sherehe mbalimbali na misiba, kutoa matangazo ya aina mbalimbali...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari za Mida? Wajasiriamali poleni na wale tuliobinasifisha muda wetu baada ya sisi kutokuwa na kazi nao pia poleni. Jioni hii niko naongea na Dada anaye uza uji baada ya kupita kupata kikombe...
31 Reactions
82 Replies
14K Views
Mimi ni kijana wa kiume,nmemaliza chuo mwezi huu. Nasubiri vyeti mwisho wa mwaka ambapo ajira rasmi inaweza kuwa mwakani. Kwa muda huu ninafikiria nifanye biashara(nina mtaji wa 500,000) au...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
"With every trade or investment there are four possible outcomes. You can have a small win, big win, small loss or big loss. As long as we make sure we eliminate the big loss from happening, we...
3 Reactions
1 Replies
977 Views
Moja kati ya vitu pekee watu walitamani kuvisikia ni kurejea kwa thamani na heshima ya pesa za Tanzania na Hii ndio awamu pekee katika miongo 30 iliyopita ambapo watanzania tumekua na heshima na...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…