Habari zenu,
Mimi ni kijana ambaye nimemaliza kidato cha nne mwaka 2007. Nilibahatika kupata div 4 ya point 26 nilipata C tatu.
Sikubahatika kuendelea advance nikaamua kujishughulisha na...
nimekuwa mhanga sana katika suala la upangaji wa mishahara na madaraja yake, mfano TGOS,TGS, PSOS n.k watu tunaomba kazi serikalini kwa kuangalia madaraja yale lakini wengi hatuelewi ni kiasi gani...
TUMEZOEA kuona wateja wakidaiwa na mara nyingi kuamini kwamba, kwa sababu mwenye duka ndiye anayemiliki bidhaa ziuzwazo, uwezekano wa kudaiwa na mteja haupo au ni kwa asilimia ndogo sana.
Mtandao...
Wanajukwaa kheri?
Naomba nianze moja kwa moja kwa kujikita katika suala hili la uandaaji mikataba baina ya serikali na mwekezaji. Hii inatokana na haya yanayo jili kila uchao na uchwao inapokuja...
Habarini wandugu mimi na rafikiyangu wote ni watu wa information technology I.T tuna lengo lakuanzisha mobile application itakayo wawezesha watumiaji wa simu kutuma, kupokea na kutoa fedha bira...
Naombeni muongozo nahitaji kufungua kiwanda kidogo cha kuzalisha bidhaa za kusindika na kiwanda cha sabuni za miche mwenye ufahamu au anayefanya ujasiriamali huu naomba anipe maelekezo, naanzaje...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
This pair is bullish in the long-term, but neutral in the short-term (for price has been going sideways for about two...
Kwanza niwasalimu nyote mlio fungua uzi huu kwa heshima mliyo onesha kwani hamkujua nini nimeandika ila natunaini hamta jutia.
Leo napenda tuangalie busara na maarifa yapatikanayo katika vitabu...
Wadau heshima kwenu,
Hope humu kuna watu wengi walishafanya hii biashara na kujua changamoto zake, nimeoa wilaya moja mkoani kwetu huko kuna fursa ya kufungua ka-kiwanda kidogo cha kutengeneza...
Habari Wajasiriamali na Ma expexted Entrepreneurs.
Nilikuwa na pitia Uzi wa ONTARIO that is very nice stories na watu wana furahia sana kusikiliza story za mafanikio. Watu wanapata hamasa sana...
Maana ya wazo la biashara
Kabla mtu hajaanza biashara, huwa anaanza kupata wazo la nifanye nini? Mawazo haya hupitia hatua kuu mbili:
1. Hatu ya kwanza
Mawazo mbalimbali humiminika kichwani kwa...
Jana machinga wameitwa na kupewa TIN number wamefurahi sanaa pasipo kujua kazi ya TIN ni nini!
Binafsi nimefurahi sanaa kwasababu wakishajua ukweli wa haya mambo TIN number hawa TRA...
Natumai nyote mu-buheri wa afya Enyi wana wa nuru.
Nimeona ni jambo la kheri tukageuza macho yetu katika vitabu vitakatifu tuone Mwenyezi Mungu anatuasa nini kuhusu swala zima la uchumi. Na zaidi...
Habari za wakati wana jamvi!
Ninalo langu swali la kutaka kujua taratibu za mikopo kutoka taasisi za fedha.
Nimewahi kukopa katika bank moja na bado ninalipa mkopo
Niliwahi kusikia kuwa kuna...
Huduma iliyongojewa miaka mingi, hatimaye imefika: :: DSE SHARE PORTAL :: Sasa unaweza kuuza na kununua hisa kupitia mtandao.
Pa kuboresha:
1. Uwezo wa kununua hisa zilizo kwenye soko, siyo zile...
Wasalaam.
Kumekuwa na malalamiko sana kwa watu wengi katika kipindi hiki kuhusu ulipaji wa kodi, hasa katika matumizi ya mashine za kielektroniki za EFD katika ulipaji wa kodi. Binafsi sina...
Muda ndo rasilimali pekee ambayo Mungu hakuwa na upendeleo nayo.
Awe masikini awe tajiri wote tuna masaa 24.
Nchi tajiri na nchi masikini wote tuna saa 24.
Tofauti sasa ya Matajiri na masikini...