Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,926
- 8,934
Wakuu, vipi kuhusu hii biashara kibongobongo? Prospects zake zikoje? Inalipa au bado haina nguvu sana? Naona watu wengi wanaiongelea ongelea.
Ni moja ya biashara nzuri zisizo na presha, ila inahitaji capital isiyo ya stress..
Inalipa ila inahitaji mtaji wa kutosha, siyo mtaji njaa.
Hii biashara inahitaji mtaji mkubwa au connection na mabenki
from 4 bilions tzs kwa mtu mwenye mtaji mdogoMtaji kiasi gani? Be specific ili muuliza swali apate complete answers
Dadavua na returns zake.from 4 bilions tzs kwa mtu mwenye mtaji mdogo
Ndio inatuweka mjini, sasa sijuwi mwenzetu tayari una kiwanja au viwanja, nyumba majumba?! Kama ndio start-up usiogope, kila kitu nia, at least ukiondoka hapa mother earth wachache watakukumbuka kwa hili.Wakuu, vipi kuhusu hii biashara kibongobongo? Prospects zake zikoje? Inalipa au bado haina nguvu sana? Naona watu wengi wanaiongelea ongelea.
Kupangisha si inachukua muda mrefu kurudisha pesa?Hi unaweza anza mwenyewe kwa kujenga nyumba na kupangisha
Tofauti ya agent na broker ni ipi mkuu?Jee unataka kuwa Real estate broker?
Agent ?
Developer?
Mortgage broker ?
Pia kuna nyanja za Property management na valuation
Sasa uchague ipi ulokusudia ku ingia..lakini zote zinalipa , ila sheria ya upande wa agent na brokers hakuna. Ni soko bangi, fujo na utapeli. Ni soko ambalo uwe ngangari kweli kwani unaweza fanya kazi na landlord akakutia ndani , na hakuna sheria kwa sasa inayo kulinda ...lakini job safi
Nyumba inagharimu sh ngp kujenga mkuu?inagharimu st: 16248435 said:Hi unaweza anza mwenyewe kwa kujenga nyumba na kupangisha
DeveloperUkiuliza kama biashara ya real estate inalipa mkuu unakuwa vague kiaina coz huo uwanja wa real estate ni mpana sana. Unataka kuwa developer, realtor, au kuflip properties?