Msaada: Naomba kufahamu taratibu za mikopo taasisi za fedha

ABINALA

Senior Member
Sep 20, 2013
131
225
Habari za wakati wana jamvi!
Ninalo langu swali la kutaka kujua taratibu za mikopo kutoka taasisi za fedha.
Nimewahi kukopa katika bank moja na bado ninalipa mkopo

Niliwahi kusikia kuwa kuna issue ya kutop-up lakini sharti kuwe kuna ongezeko la mshahara kama ni Mfanyakazi.

Kwa hali ya sasa kama mnavojua kiongozi Mkuu wa nchi amesimamisha sharti la mkataba la kupandisha mshahara ni season mbili sasa wafanyakazi tunaishi kwa matumaini

Je! Ninaweza kupata mkopo kutoka bank hiyo (wamelegeza masharti)?
Au ninaweza pata mkopo taasisi nyingine? Kwani nina bussness yangu bataka kuiboost. Msaada jamani!

Samahani kama lugha itakuwa haijakaa vizuri
 
Van gaal

JF-Expert Member
May 8, 2014
267

Tila tanzania hautajuta. Unaweza kopa hadi 1m
 
Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,096
2,000
Unapatikana wapi?

Unaeza kupata mkopo toka taasisi zingine au ku top up katika benk iyo pale tu makato ya mkopo wako yakikamilika mshahara wako ubaki 1/3.

D.A"mwanaume mashine"
 
bhututu

JF-Expert Member
Sep 14, 2016
691
1,000
Inategemeana,
Kama makato yako hayajagota theruthi moja ya basic yako, unaweza ukatop up,
Lakini pia kama umebakiza mda mchache wa kumaliza, au umelipa kuanzia mwaka hivi utaruhusiwa kutop up. Kwa maelezo ya uhalisia wa swala lako muone loan officer, bank uliyokopa yeye atakueleza unaweza kupata na kiasi gani au lah!!.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom