Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Ni ukweli usiopingika kwamba Kwa sasa hari ya kibiashara sio nzuri sana na hii inasababishwa na mambo mengi mni mengine tunayajua na mengine tunaweza kuwa hatuyajui kabisa. Kuna Biashara nyingi...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Nimeagiza mzigo toka mwezi wa 6 mpaka sasa na yamebaki masaa kadhaa tu purchase protection iwe end sasa nataka nifungue dispute wakuu Jee watanirefund? Na pia wanataka niapload picha ya ushahidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Business rent sharing idea.. Natafuta mtu anaefanya biashara yeyote isiyo na usumbufu wa harufu au kelele… wa kushare nae kodi ya space tutakapofanyia biashara na kufanya separations … ( this...
1 Reactions
2 Replies
975 Views
Ulivyo sasa hivi ni matokeo ya kile unacho waza au unacho fanya.Ulivyo sasa ni uwekezaji ulio ufanya kichaani mwako. Sasa swali je kwenye akili zako kuna uwekezaji gani? Unawaza nini akilini...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimewaza sana kutafuta ufadhili wa kampuni yoyote ili inijengee hostels za kisasa zenye vyumba hamsini lakini nimeona ni vyema nilete wazo langu hapa na baada ya hapo ndo nichukue maamuzi, malipo...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Kwa sasa mtaani kumekuwa na shida kubwa juu ya hawa ndugu zetu wachina kwani wanachofanya mitaani si sawa hasa kwa vijana na watoto walio chini ya umri wa miaka kumi na nane , wanasambaza mashine...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nini mtazamo wako baada ya kutazama madini haya? Mimi nadhani inaweza kuwa Diamond au Moissanite nipe mtazamo wako. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Najua huku kuna wataalamu wa mambo ya fedha. Naomba usharui nataka kufungua account ya fedha ya kigeni husasani Sterling Pound (£) na vile vile nataka niwe nahamishia fedha kwenye e-wallet kama...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish This pair is neutral in the short-term, but bullish in the long-term. Price moved sideways from Monday to Thursday, and...
2 Reactions
0 Replies
604 Views
Wakuu naombeni msaada nataka kukopa benki Million 1 masharti yake ni yapi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
2K Views
“One thing very good traders have is insight into themselves.” - Chris Tate FUN AND GAMES Recently Louise Bedford and I have been doing the Short Term Trading Magic seminars in a few places...
2 Reactions
1 Replies
676 Views
More Renders
3 Reactions
28 Replies
15K Views
Tafadhali nambie ili niweze kufahamu pia ukijua na bei itakuwa poa sana wakuu
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wakuu habarini. Nataka kuanza kufanya manunuzi online ila leo nimeenda posta wamenambia kuwa natakiwa nifungue sanduku langu la posta kwa elfu 30 yaani ngachokaa kbs Hii ni ile posta pale...
1 Reactions
62 Replies
8K Views
Kati ya hivi ving'amuzi Continental HD 2 cha Star Tv na Digitec cha ITV kimoja wapo kikiwahi kuingia sokoni hivi sasa kitauzika sana kuliko kingine kwa sababu market demand ipo juu sana. Startimes...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau wa jukwaa hili salaam zenu wote, Leo ni nane nane na wengine tumetembelea au tuna mpango wa kutembelea maonyesho mbali mbali ya wakulima. Kwenye banda moja mfanyabiashara/mkulima huyu...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Viwanda vinahitaji malighafi ya uhakika ili viweze kuzalisha kwa mwaka mzima. Vile vinavyotumia malighafi ya mazao ya kilimo na ufugaji vitahitaji ukulima na ufugaji wa kibiashara unaozingatia...
0 Reactions
0 Replies
601 Views
1 Reactions
35 Replies
12K Views
Mwenye uelewa wa lini msimu wa maembe unaanza au wapi zinapatikana kwa sasa, tafadhali naomba kujulishwa..nimepata soko kubwa la ku supply.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari zenu wana jf, naweza kupata mtaalam wa kuniandalia return za TRA na gharama zinakuwaje? Nawasilisha. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…