Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Nsemwa Company Limited, located at Tegeta DSM offers the following services at very competitive prices; ENVIRONMENTAL PROJECTS: Environmental Impact Assessment Water Resource Modelling Waste...
0 Reactions
2 Replies
839 Views
Wakuu Leo na Mimi ngoja niongee kidogo. Umaskini ni kitu kibaya sana duniani.Umaskini unasababisha kumkufuru mwenyezi mungu mara kwa mara,hata kwenye vitabu vya mungu umaskini umepigwa vita...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Bei ya vitunguu swaumu-Kariakoo Habari zenu Wakuu. Nahitaji msaada wenu juu ya bei ya sasa ya kulangulisha vitunguu swaumu sokoni Kariakoo kwa kilo moja. Au kama kuna mdau ana namba ya simu ya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Vp washikaji? Mimi nipo Dar na ningeomba kujuzwa maeneo gani mtu anaweza kununua dhahabu katika small scale. Mimi ni mwajiriwa wa kamouni flani ila nataka kuimarisha financial position yangu, kwa...
1 Reactions
72 Replies
25K Views
Habari wakuu! Mimi Ni mmoja Kati ya watu wanaouza kazi zangu Ulaya, Australia Na America online, naumizwa Sana Na kutotambulika kwa PayPal hapa Tanzania, inapelekea Mara nyingi kutumia Western...
3 Reactions
91 Replies
14K Views
  • Closed
Wasalaam wapendwa, husika na kichwa cha habari, naomba yeyote mwenye nia ya kunisaidia mkopo wa kiasi hicho anisaidie dhamana ni simu smartphone, na vitambulisho vyangu pamoja na vyeti. Napatikana...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Naombeni kujuzwa ndungu wana jf kama kuna uwezekamo mtu wa saudi arabia kutuma hela mpesa tz au kama kuna njia nyingine nzuri ya kupokea hela kwenye kutoka saudi naombeni kujuzwa juu ya hilo
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish The pair has been going southward since September 25, having lost about 200 pips. Price moved briefly below the support...
0 Reactions
1 Replies
618 Views
Tunatoa huduma ya outside catering kwenye harusi, kitchen party,birthday,semina,Graduation nk. Sahani moja ni 15000 hadi 18000 unapata startet ambapo kunakuwa na soup,main course kuku wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, Juzi familia yangu tumebahatika kununua gari aina ya noah ilikuwa inamilikiwa kama private kibao cha njano, lakini sasa tumeibadiri umiliki na sasa ipo cormecial kwaajili ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nikiwa Director wa registered CBO iitwayo lifelong learning community based organisation yenye ofisi mkoa wa Dodoma wilaya ya Dodoma mjini,,, Inajihusisha uhamasishaji wa masuala mbalimbali ya...
1 Reactions
0 Replies
857 Views
Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dk Benard Kibese ametoa ufafanuzi juu ya hali ya ukuaji wa uchumi wa Taifa unaodaiwa kutoakisi hali ya maisha akieleza kuwa unakua kutokana na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Natafuta mfadhili/ mhisani au mwekezaji. Mimi nikiwa kama Director wa registered CBO iitwayo lifelong learning community based organisation yenye ofisi Dodoma mjini tunahitaji mhisani/mfadhili au...
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Napenda kuwasalimu wana JF wenzangu habari za weekend na pia poleni sana kwa uchovu wa pilika pilika za wiki nzima. Bila kupoteza muda naomba nije moja kwa moja kwenye mada; Leo naomba...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
if you are unhappy with your salary, you are in the wrong job. Look elsewhere, preferably follow your dream if you have any: MWATHAI Muguku started with two hens and a cock to supply eggs for...
3 Reactions
61 Replies
10K Views
Kwanza hongereni kwa michango yenu ya kujenga, huwezi kupita jukwaa hili usipate kitu kipya. Ila pia kwa upande mwingine baadhi ya washauri, wachangiaji ni wakatishaji tamaa sana. Mtu anaomba...
19 Reactions
37 Replies
3K Views
Nimesubiri refund walisema ni siku 15 au 20 nimesubiri mpaka hamna nilichopata nifanyeje customer care wao wanajibu maswali mepesi tu
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wapendwa wadau, Niko Sengerema ni mwezi sasa, nahitaji kujua fursa nyeti zitakazoweza kuniingizia kipato iwe ni ya gari, kilimo na hata ujasiriamali. Naomba mawazo yenu wana JamiiForums.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wakuu, Naomba ushauri, Nataka nifungue platfom google ambayo itahusika na utoaji wa mafunzo ya mapishi kwa njia ya masafa marefu yaani distance learning na mtu atakua anabook kipindi...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu zangu, Katika tafiti zangu zisizo rasmi, nimegundua kizazi kinacholalamika kuhusu ajira, naongelea degree holders ni waliomaliza kidato cha nne mwaka 2010 na kurudi chini. Na...
14 Reactions
38 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…