Wafanyabiashara wengi Tanzania walihamisha mitaji yao toka 2016 nini sababu?

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,953
28,421
Wakuu.

Nimepata kubadilishana mawazo na wafanyabiashara wakubwa , wengi wao wanaelezea jinsi walivyohamisha mitaji yao na kutoa pesa kwenye mzunguko nchini,
Na mitaji yao wameipeleka mataifa mengine ya Afrika au Bara Asia sasa najiuliza sababu kuu ni nini?
 
18512701_303002096795672_5552821311278940160_n.jpg
 
Kuna kitu wanasema " projections and anticipations".
Kifupi MTU anapima na kubashiri kwa kutumia uzoefu kuhusu kinachoweza kutokea ktk muktadha fulani. Kwa wafanya biashara wazoefu wsliona viashiria hatari wakachukua tahadhari.
Rekodi za jamaa si za kuvutia watu na mitaji makini. Hatabiriki!
Tusubiri 2019 tutaona/tatasikia vibweka na vituko juu na uchumi na mwangwi wa utawala wa awamu ya 5 ktk kutafuta uhalali wa kuongezewa muhula wa 2 kupanga Ikulu.
 
Back
Top Bottom