Freddy.Freddy
Senior Member
- May 29, 2015
- 105
- 44
Vp washikaji?
Mimi nipo Dar na ningeomba kujuzwa maeneo gani mtu anaweza kununua dhahabu katika small scale. Mimi ni mwajiriwa wa kamouni flani ila nataka kuimarisha financial position yangu, kwa hivo nilitegema kununua dhahabu kwa bei ya chini kule mikoani na kuleta hapa Dar kuwauzia major dealers hapa Dar.
Kwa sababu mtaji wangu mdogo, ningetaka kuanza small scale, labda kununua kwa viwango vya gramu kadhaa mwanzoni. Kwa hivo naomba msaada wenu marafiki.
Nimeambiwa kwamba Kahama wapo wachimbaji wadogo wadogo, pia Geita. Asanteni sana arif zangu