Habari zenu wana JF, naamin mpo salama na amani imetawala.
Wadau mimi binafsi nilitaka tu tushirikishane fursa mbali mbali zilizopo kwa sasa. Naamini kila mtu anakubali kuwa hali ni ngumu sana...
Ndugu wana jf, mm ni mwanafunzi wa chuo kikuu ,nimekwama ada kiasi cha laki 2 , aliye tayar kunikopesha kwa dhamana hata ya chet cha form 4 & 6 ,au mashart mengine yasiwe magumu ,naomba anisaidie...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
This week, EURUSD assumed one of its strongest movements in recent times. Since December 18, 2017, price has gained 800...
Juzi nilikuwa napita pita maeneo ya mjini kama unavyojua Mkulu kesharuhusu wamachinga kupanga vitu, nikawa napita kutafuta saa moja hivi ya mkononi kwa ajili ya mdogo wangu.
Nikapita eneo...
Wakuu, salamu na pole na mishughuliko mingi,
Kiukweli ukifika Ubungo kutoka Mataa- pandisha kama unaenda Kimara kipande chote kile mpaka ilipokuwa idara ya maji kifaa sana kumpata mwekezaji...
Ndg...Wana Jf...Mimi ni mkulima Nina pump mpya...Aina ya Sansan...ya petrol horse power 5...Natumai kuvuta majitoka bwawani kuna Kwenye Karo la Kumwagilia...Nashangaa Leo ghafla Mora...
Jameni kwa ambaye anafahamu naomba msaada kuhusu hii biashara.Naomba kufahamu yafuayayo:-
1.Vifaa vinavyotumika na bei zake
2.Wapi naweza kupata matetials kwa bei nafuu hapa Dar
3.Bei ya kuuza...
Habari za jioni ndugu zangu wapendwa.
Ni jioni ya machungu Kwa jirani yangu muda huu anapokonywa vitanda makochi na kila kitu Kwa kushindwa marejesho ya maliyeshindwa mwezi mmoja tu.
Mvua...
Uganda - 25% living below the poverty line.
Tanzania - 29% living below the poverty line.
Kenya - 46% living below the poverty line.
Don't let GDP figures mislead you. I always tell my fellow...
Habari zenu wadau,
Kama kichwa cha habari kinavyosema apo juu, naomba kujua faida zake na changamoto zake hii biashara ya baby diapers (Pempas watoto) kwa mkoa wa Dar na mbinu gani niweze kutumia...
Farm for Lease
A 2.5 hectare brick fenced farm at Madale Kisauke in Dar is for Lease.
The farm has a chicken house that is fully equipped with water drinkers. It can accommodate up to 10,000...
habari wana jamvi huu uzi ni mahususi kwa wale wenzangu na mimi ambao tunafanya biashara ya vitu used.
Yani kwa mtu yeyote anayeuza kitu chochote used anaweza kuutumia huu uzi na kutangaza na...
Jamani naomba kufahamu faida inayopatikana kwenye mifuko ya UTT inatolewa katika mfumo wa simple interest au compound interest; yaani faida inakuwa inajumlishwa na mtaji au usipo nunua vipande...
Habari wanaJF,
Ningependa kugusia kitu kabla sijaenda kwenye swali langu.
Tukikumbuka mwaka Jana ama mwaka juzi vyuma vilipo anza kukaza watu wengi walikuwa wakilalamika pesa imepotea mtaani...
Katika thread yake Ontario mwenyewe amesema yuko tayari kutoa training na mentorship kwa wakazi wa Mwanza, Kagera, Mara na mikoa jirani yenye uwezo wa kufika Mwanza. Anachohitaji ni kuji-organize...
Tuanze na BILIONI 1.
Naona watu wanaitajataja sana bila ufafanuzi wa kueleweka. . . Kuna wanaoifananisha na mikopo Ya elimu Ya Juu, wengine darasa katika shule. . . Nk. . .
Ngoja Mimi niiseme...
Wakuu heshima kwenu,
Humu najua ni wajuzi wa kuelimishana mambo mengi, Kufuatia mabadiliko ya kibiashara kwa sasa, biashara zimebuniwa nyingi za kuingiza vipato, naomba kujuzwa faida ya biashara...