Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Heshma mbele wadau, Nimeamua kufanya kilimo sehemu za eastern na central zone,nilikuwa nahitaji trekta na kwasababu nguvu yangu kipesa si kubwa sana nimeona nitafute used tractor (napendelea...
1 Reactions
34 Replies
21K Views
Nimeona niongee machache leo kuhusu mzunguko wa pesa nchini, kwa miezi ya karibuni kumekuwa na malalamiko na manunung'uniko mengi kwamba pesa imehadimika, naungana na wote wanaolalamika na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
*HEKO BENKI YA CRDB KWA UBUNIFU HUU* *Kukua kwa teknolojia kumeleta mabadiliko mengi chanya yanayopelelea maendeleo katika jamii zetu. Nakumbuka nikiwa mdogo mama alipokuwa akitaka kwenda benki...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wakuu. Leo nimekaa nikafikiria sana kuhusu namna ya kuongeza kipato. Hii ni baada ya kupiga hesabu za gharama za maisha hasa kwa upande wa kulipa kodi ya nyumba, nk. Mkakati niliouona...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nina business proposal ni TV program itarushwa kila wiki. Watu wanne kila wiki watakaribishana chakula, host atatengeneza a three course meal, marks zitatoka kwa kila mtu. Atakae score The...
4 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari za jumapili ndugu? Nilianza na bussines idea, nikaifanyia plan yakinifu sasa nimefka kwenye utekelezaji, Hapa nimekwama nusu, hela inayohtajka kwenye Plan yangu n almost 8M, mimi ninayo 3M...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakubwa zangu shkamooni. Kama kichwa cha habar hapo juu kinavyoeleza. Mm najishughulisha na biashara ya nafaka kama mchele na unga,sembe na dona. Sasa nataka kupandisha thamani ya bidhaa zangu...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la ongezeko la kampuni mbalimbali zinazokopesha kwa njia ya mtandao.Labda nimechelewa sana kuzisikia habari hizi maana nimeona kampuni zingine zina miaka zaidi ya...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Mimi ni kijana nataka Kufungua duka la vifaa vya simu niko Iringa ila sijui wapi nitafungashia mzigo.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habarini wanaJF, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Nataka kufanya biashara ya bodaboda na kirikuu, sasa nahitaji ushauri wa vtu vya msingi navyopaswa kuvifanya kabla ya kumkabidhi dereva...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya kutoka chuo kikuu, niliamua kufanya biashara ya daladala ili maisha yasonge, cha ajabu hii biashara ni pasua kichwa. Utasikia mara tochi, bao mara gari imeharibika nk Binafsi napenda...
7 Reactions
59 Replies
12K Views
Naelewa kuwa dhahabu ni kitu cha thamani sana. Nimejionea migodini jinsi inavyo tumika gharama kubwa sana ili kupata kitu kiasi kidogo kinacho pimwa kwa ounce tu, lakini hata hivyo kidogo hicho...
2 Reactions
9 Replies
10K Views
[8/9, 18:05] mwangosaid: *PURIFYING EXFOLIATING CLEANSER* *SPECIAL FOR MEN* -Hii ni sabuni special kwa wanaume ya kuoshea uso.. *Uchunguzi unasema ngozi ya mwanaume huchelewa sana kuonesha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarin humu ndani kwanza kabisa napenda kujua kama kunatofauti ya kodi kati ya kitambaa cha nguo na nguo iliyokwisha shonwa pindi vinapoingia nchini kwetu? Wanachaji asilimia ngapi au kama...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Kichwa cha uzi chajieleza, naomba kujuzwa Mahitaji au nyaraka muhimu wanazohitaji vodacom ili niweze kupata line ya wakala wa mpesa yenye jina langu
1 Reactions
8 Replies
2K Views
TANGAZO KWA UMMA JUU YA UUZAJI WA VIWANJA KATIKA ENEO LA GOLANI KATA YA KIMBIJI NA YALE YALE PUNA KATA YA PEMBA MNAZI Halmashauri ya Manispaa ya Temeke kwa kushirikiana na Kampuni ya Ardhi Plan...
2 Reactions
27 Replies
11K Views
Wanajamvi naomba kufahamishwa ni mambo gani yanaitajika ili kuweza kusafirisha dagaa na uduvu kwa ajili ya chakula cha kuku Naomba kwa mwenye kuelewa anifahamishe
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu Ninahitaji milioni nne pekee kuendeleza biashara zangu. Nipo tayari kuweka dhamana ya vyeti vyangu vyote kuanzia kidato cha nne hadi chuo kikuu. Mwezi December nitarejesha mkopo hata ikiwa...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari zenu, tafadhali naomba anayeweza kunisaidia kujua bei na wapi naweza kupata tunguu swaumu anieleze. Nahitaji mzigo mkubwa. Asante
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mambo zenu? Naombeni ushauri sina kipato kikubwa ila sijafika ml.1 ila napenda biashara gani ni nzuri kuifanya kwa mtaji mdogo?
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…