Habari za muda huu wanaJF naomba kwa wataalamu wa mambo ya hisa mtusadie ufafanuzi tuelewe utendaje wa vertex international security fund ipoje tutapataje faida kama tutawekeza, nimeona unaweza...
Jamaa alipatwa na misukosuko ughaibuni na makaratasi yake ya uhamiaji yakaharibika kabisa. Badala ya kuendelea kuishi USA pasipo kujua mbele wala nyuma, ameamua arudi Tanzania akapambane huko...
Kwa wale vijana wenzangu ambao tuko katika harakat za utafutaj wa maisha..ningependa ku share nanyi taarifa hii kuhusiana na cryptocurrency … kutokana na kukosa maarifa na kutokua na elimu ya...
Habari wakuu.
Nikitaka kuanzisha na kufanikiwa katika kutoa huduma ya massage nizingatie nini?
1). Kibali kinatolewa baada ya kukamilisha nini?
2). Profesional Masseuse /masseur wanakua na...
My Take
Kwa hili natoa pongezi sana Kwa Serikali ya awamu ya 6 Kwa sababu Sasa tumepata njia Mbadala ya kutunza hela huku ukipata faida badala ya kuziacha benki wakituibia Kwa makato ya kiwizi...
Mim ni kijana mwenye umri wa miaka21,
Nina mashine mbili moja ya kusaga na ya kukoboa mashine kubwa za kuzalisha unga wa kupeck.
Nina million kumi cash ya mtaji na mashine zipo complete kwa...
Wanaume waliojipata kimaisha. Kitu gani kinafanya sisi wengine tuchelewe kufanikiwa?
Tunaombaushauri wako utatusaidia na sisi tunaojitafuta.
Najitajidi kufata kanuni zote za biashara na kanuni...
Wadau wa JF, habari zenu?
Katika hali ya sasa ambapo bei za mazao hubadilika mara kwa mara, ni muhimu kujua mwenendo wa soko ili kufanya maamuzi sahihi ya biashara na ununuzi. Leo tunajadili bei...
Kila mfanyabiashara wa saloon ya kiume anatakiwa kuwa na leseni ya biashara ili kutambulika kisheria. Sheria ya Leseni ya Biashara Na. 25 ya mwaka 1972 inaweka wazi kuwa kufanya biashara bila...
Meet the offers you can’t refuse. Whether it’s for personal or business use, you need a web hosting service like Computer Springs to get your ideas online. No matter which plans you choose, you...
SPEA MUHIMU ZA KUANZA NAZO KWENYE BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI REJAREJA.
Mjadala wa leo utajikita zaidi kwenye Spea za umuhimu zaidi kuanza nazo kwenye duka lako jipya kama mfanyabiashara mpya wa...
mwenye idea na biashala hii anijuze,kwan nataka kuanzisha kiwanda kidogo kitakacho zalisha lita 50-100 kwa siku.Ilia sijui pa kuanzia
vifaa,mtaji,mahitaji na upatikanaji wa mashine pia vifungashio
Umuhimu wa Leseni ya Biashara
Kwanza kabisa, ni muhimu kufahamu kuwa kufanya biashara bila leseni ni kosa la kisheria. Sheria ya Leseni za Biashara Na. 25 ya 1972 inaeleza wazi kuwa kila...
We specialize in sourcing premium used and New cars directly from Japan, Dubai, the UK, and South Africa, ensuring quality and reliability for our clients in Tanzania.
📍 Visit Us: CCM Building...
Kama wewe ni mtumiaji wa online business naomba tuambia kampuni gani umeitumia kuagiza bidhaa zako online.
Kuna story nyingi mtaani kuhusu kutapeliwa mtandaoni bahati mbaya kila nikiongea na watu...
Technology Ina move haraka sana, kwahiyo na baadhi ya services za serikali zinafata mkondo.
Kuna njia mbili za kupata Leseni ya biashara as of today;
1. Kwenye halmashauri
Unaweza kwenda...
Habari wataalam.
Baada ya kujidunduliza sasa nimeamua niingie kwenye biashara yaani busines.
Naomba nipate japo ushauri kabla sijayamwaga haya mamilioni yangu.
Biashara ipi inalipa hapa Mbezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.