Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

mama muuza mbege wakati nachukua oda zangu nimekutana na mada watu wanataka kutrade forex.niwaonye tu walevi wangu hiyo biashara haina regulatory body .hela ikiliwa ni imeliwa hutoweza kushtaki...
18 Reactions
375 Replies
54K Views
Natafuta frem ya kupanga Dar es salaam,hasa kwa maeneo ya KAWE iwe barabarani na TABATA SEGEREA KITUONI...asanteni
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Wasalaam great people Ladies and gentlemen Kuishi kwingi kuona mengi. Hakika tunaishi katika dunia amabayo tunaanza kuona watu wenye vipaji au hobbies zoa wanazigeuza kuwa biashara na hakika...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama bango linavyosomeka hapo juu weka order ya bidhaa uitakayo ambayo kama itakuwa ndani ya uwezo wangu nitakuletea mpaka DSM Ubungo kisha utanilipa gharama yake ya hiyo bidhaa. Ukiwa seriously...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Mimi nimenunua simu mpya kabisa ya tecno,mkataba nimepewa ya mwaka mmoja ila nimeshatumia hii simu kwa Sasa ni mwezi kasoro na inanisumbua Sana upande wa spika & maik,Simu nimenunua tah.5/7/2018...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wadau, kama heading inavyojieleza ni kuwa natafuta mtu serious, narudia tena mtu seriuos wa kufanya nae partnership kwenye biashara ya Usafi wa maofisini na food products packeging. Tayari...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za leo wanabodi. Naomba kujua Jambo hili. Katika ukopaji wa kawaida huwa tunalazimika kuwa na Shaman ya Mali isiyo hamishika na pengine iwe na thamani sawa au zaidi ya kiwango cha mkopo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwawale wafugaji walio jiunga instagram follow page yetu ujifunze namna ya kufuga ufugaji wenye tija
0 Reactions
2 Replies
964 Views
Habari zenu wakuu .....naomba niende moja kwa moja kwenye mada ...juzi juzi nilikuwa nasoma investments habari nikabahatika kuona kumbe unaweza kukopa nikaclick then nikapewa contact pamoja na...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakuu, habari za weekend! Hv kuna mtu anajua app au web yyt ambayo mtu anaweza kuitumia ili kutrack simu iliyoibiwa kwa kutumia imei number?
1 Reactions
6 Replies
4K Views
za mda huu wakuu... katika kuhangaika huko na kule kutafuta mtaji hatimae nimefanikiwa kupata iko kias kidogo,, biashara gani inaweza kunitoa?? ndugu zangu tuweke utani pembeni nipo serious...
4 Reactions
63 Replies
10K Views
wanajanvi mimi niko Moshi na nina kaincubators kangu sasa nilitaka kuanza biashara ya kutotoresha vifaranga na kuwauzia wafugaji mtaani kwangu, sasa nashindwa kujua ni wapi nipate kuku parents wa...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Wadau habari, natamani kufanya biashara ya urembo, kununua Dar to mkoani, sijui pa kuanzia nifanyeje? ?
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wanajukwaa, wanaoijua vizuri kampuni inayoitwa faidika au letshengo naomba ufafanuzi.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wadau kwa wanaohitaji asali bora kabisa original tutafutane inbox. Parking zetu ni 1 kg na 500 g Bei ni elfu 10Kwa kg na elfu 5 kwa 500gm. Ukihitaji kwa ndoo pia tuwasiliane. Nicheki tu inbox...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu wa JF, Kwanza natangulia shukrani kwa uongozi wa JF kwa kutupatia na sisi wajasiliamali fursa ya kujadiliana na kupeana uzoefu wetu humu. Baada ya shukrani nawataarifu kuwa tunauza...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mmiliki wa mtandao wa Kijamii, Facebook amepoteza zaidi ya Dollar Billion 15 ndani ya dakika 5, ambazo ni zaidi ya Bajeti ya Tanzania kwa mwaka wa fedha 2018/19 Amepoteza kutokana na kufanya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jaman wanajamvi habarini za humu; naombeni maelezo na habari yeyote na mambo ya kuzingatia kwa mtu anayeifahamu baraidi vizuri tayari. Nina mpngo wa kuhamishia biahsra zangu ndogo ndogo bariadi...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Katika kuendelea kusogeza huduma zake kwa wananchi zaidi na kutoa masuluhisho ya kifedha, Benki ya Azania leo imezindua huduma mbili mpya maalumu kwa ajili ya wastaafu kutoka katika mashirika...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Nina laki tano , ila sijui nifanye biashara gani niweze kuizungusha .. Naombeni mawazo yenu wanajammvi ... Nashukuru
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…