Habari za mida wakuu
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Nimekua nikifatilia habari za watu wengi waliofanikia na wafanyabiashara wakubwa wa ndani na nje.
Kutoka katika takwimu za forbes za...
Thamani ya shillingi ya Tanzania inazidi kushuka dhidi ya dollar ya Kimarekani kila kukicha. Serikali chukueni hatua za haraka. Athari hii ni mbaya kwa uchumi.
Nilipokuwa na miezi sita kwenye ajira yangu ya kwanza tayari nilikuwa na utaratibu wa kusave bank kwa njia ya kukatwa juu kwa juu kiasi flani.
Siku moja nikakutana na aliyekuwa mwalimu wangu...
Habari zenu wakuu.
Nina habari njema ya kushare nanyi.
Nayo ni stori ya jamaa yangu aliyefanya mapinduzi huku Kigamboni ambapo awali alikuwa akiacha hela ya matumizi kama elf ishirini kila...
Ndugu wana JF, suala la bidhaa feki na duni limekuwa ni changamoto kubwa. Nina mfano mzuri kupitia mavazi. Binafsi, nimekuwa nikiishi kwa kuvaa mitumba kwa muda mrefu kwakuwa nimekuwa na mtazamo...
Habari wakuu
Tafdhali naomba kujuzwa juu ya utaratibu wa kisheria wa jinsi ya kufungua duka la Sonara.
Hitaji kubwa sana liko kwenye utaratibu wa upande wa wizara ya Madini. ( Ni leseni hipi...
Maneno machache kwako wewe ambaye dunia bado inakuweka chini,
Hawakujui,
Watafanya kila liwezekanalo kukufanya ubaki ulipo,
Watalipa polisi wakuweka ndani bila wewe kufanya kosa,
Watakutishia...
Wakuu habari zenu.
Naomba mwenye ABC za fursa za kibiashara hasa kwa mitaji midogo kati ya 100,000 -500,000 tsh. Kwa Mji wa Tunduma au Mwanza. Nimevutiwa kwenda kupambana maeneo hayo.
Sina ujuzi...
The East African oil pipeline (or the Uganda-Tanzania pipeline is the talk of the town now. Not only in East Africa but all over the globe.
The construction of this pipeline is officially on...
Wakuu, Kama thread inavyojieleza mataifa karibia 35 yameungana kwenye hii project, naomba mdau anayejua umuhimu wa hii project
anielezee nipate kuelewa vizuri. Website ya hit project ni ITER - the...
Habar wakuu wa JF....
1) kwanza napenda kujua kwa wale wazoefu wa hii biashara ya kashata za karanga faida na hasira zake
2) pill naomba nipate darasa fupi La namna ya kuzitengeneza kwani...
Wapendwa wana jf, habari zenu!
Naomba kufaham bei ya korosho zilizo banguliwa (nuts) kwa kilo moja ni shiling ngapi hapa dar...bei ya jumla na rejareja...
Ifuatayo ni orodha ya mikoa kumi ambayo wananchi wake wana ahueni ya kipato hivyo muwekezaji/mfanyabiashara makini lazima uzingatie.
1.Dar
2.Dodoma
3.Arusha
4.Mwanza
5.Tanga
6.Morogoro
7.Mbeya...
Nimekaa nawaza ujinga ujinga tu,
Hivi ni kweli dr. Charlse kimei aliekua Mkurugenzi wa Crdb ameamua kupumzika nafasi hiyo kabla ya muda wake kuisha au ndio mpango wa kuelekea kule alikoambiwa...
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Ms. Mary Tesha ambaye alimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya uzinduzi wa huduma ya Taxify iliyozinduliwa hivi karibuni...
Nimefanya booking jana online, nimeamka alfajiri hii nataka nilipie ile reservation, the only reference ya booking niliyoona ni hiyo reservation number, najaribu kuingiza mpesa inakataa, naingia...
Africa 118 - Infomoby which provides a digital marketing platform for small and medium-sized enterprises (SME’s) in Africa, and NORAD (Norwegian Agency for Development) partnered to make it easier...