Msaada: Nina wazo la biashara ya vifaa vya simu ila changamoto ni mtaji na kiasi kinachohitajika ni 300,000

Hustlekid

New Member
Aug 8, 2018
2
1
Habari wana jamii forum kwa jina naitwa Herman niko mwanza elimu yangu n kidato Cha 4 na nimesoma chuo cha mipango. Nia ya kuandika Uzi huu nilikuwa na wazo la biashara ya accessories za simu na nmejarbu kufanya tafiti kwa watu wengi inalipa Sana changamoto ambayo ninayo Ni mtaji na kiasi kinachohitajika ni 300,000Tsh kusudi niweze kufanikisha ili nilikuwa nahitaj mtu wa kuniazima icho kiasi tukaelewana malipo namlpaje
 
Ah ah ah ah aliye kwambia jf ni Saccoss ni nan?

Unaith hayo matatizo unayo pekee yako hakuna wengine humu wenye izo shida

Humu kuna viumbe vina shida mpaka mlo kwao ni kitendawil ....

Mbaya zaid Id yako ni mpya kabisa

Ebu taja Id yako Ya zaman labda waweza fikiliwa.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana jamii forum kwa jina naitwa Herman niko mwanza elimu yangu n kidato Cha 4 na nimesoma chuo cha mipango. Nia ya kuandika Uzi huu nilikuwa na wazo la biashara ya accessories za simu na nmejarbu kufanya tafiti kwa watu wengi inalipa Sana changamoto ambayo ninayo Ni mtaji na kiasi kinachohitajika ni 300,000Tsh kusudi niweze kufanikisha ili nilikuwa nahitaj mtu wa kuniazima icho kiasi tukaelewana malipo namlpaje
Umetoka jela Leo? Kajiunge kwenye vikundi kuna mkopo wa serikali week nyingi utapata.
 
Back
Top Bottom