Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu,
Mie ni kijana mwenye ndoto umri ( 24 ) na mwenye kipaji upande wa (IT) lakini changamoto yangu ni vifaa vya kazi tu,nakumbuka kabla sijapata kazi...
Habari za majukumu wadau.nilikua naomba kujua endapo nataka kua na kipindi binafsi nitakachotengeneza mie na kwenda kukirusha kwenye tv zetu hizi naahitaji jufanyaje? Upatikanaji wa wadhamini...
Nakumbuka forex, forever living na orifem zilivyowajaza watu ujinga wakipewa shuhuda feki wakaamini na kujitupia humo.
Leo wanajutia tamaa zao hahahahaaa.
Kijana Ontario aliwapiga pesa watu wazima...
Asaalam wanabodi,
Nakuja kwenu tena nikiomba ushauri kwa yoyote anayejua/ mwenye uzoefu juu ya biashara ya Uuzaji wa mifuko ya Plastics inayotumika katika maeneo mengi ya biashara kama Mabucha...
Uzi wa kushare aina mbali mbali za biashara changamoto zake mtaji pamoja na faida zake,
Bila kusahau wazo lolote unalofikiria kulifanya ili upate maoni kutoka kwa watafutaji wenzako,
Habari za mida wakuu
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Nimekua nikifatilia habari za watu wengi waliofanikia na wafanyabiashara wakubwa wa ndani na nje.
Kutoka katika takwimu za forbes za...
Thamani ya shillingi ya Tanzania inazidi kushuka dhidi ya dollar ya Kimarekani kila kukicha. Serikali chukueni hatua za haraka. Athari hii ni mbaya kwa uchumi.
Nilipokuwa na miezi sita kwenye ajira yangu ya kwanza tayari nilikuwa na utaratibu wa kusave bank kwa njia ya kukatwa juu kwa juu kiasi flani.
Siku moja nikakutana na aliyekuwa mwalimu wangu...
Habari zenu wakuu.
Nina habari njema ya kushare nanyi.
Nayo ni stori ya jamaa yangu aliyefanya mapinduzi huku Kigamboni ambapo awali alikuwa akiacha hela ya matumizi kama elf ishirini kila...
Ndugu wana JF, suala la bidhaa feki na duni limekuwa ni changamoto kubwa. Nina mfano mzuri kupitia mavazi. Binafsi, nimekuwa nikiishi kwa kuvaa mitumba kwa muda mrefu kwakuwa nimekuwa na mtazamo...
Habari wakuu
Tafdhali naomba kujuzwa juu ya utaratibu wa kisheria wa jinsi ya kufungua duka la Sonara.
Hitaji kubwa sana liko kwenye utaratibu wa upande wa wizara ya Madini. ( Ni leseni hipi...
Maneno machache kwako wewe ambaye dunia bado inakuweka chini,
Hawakujui,
Watafanya kila liwezekanalo kukufanya ubaki ulipo,
Watalipa polisi wakuweka ndani bila wewe kufanya kosa,
Watakutishia...
Wakuu habari zenu.
Naomba mwenye ABC za fursa za kibiashara hasa kwa mitaji midogo kati ya 100,000 -500,000 tsh. Kwa Mji wa Tunduma au Mwanza. Nimevutiwa kwenda kupambana maeneo hayo.
Sina ujuzi...
The East African oil pipeline (or the Uganda-Tanzania pipeline is the talk of the town now. Not only in East Africa but all over the globe.
The construction of this pipeline is officially on...
Wakuu, Kama thread inavyojieleza mataifa karibia 35 yameungana kwenye hii project, naomba mdau anayejua umuhimu wa hii project
anielezee nipate kuelewa vizuri. Website ya hit project ni ITER - the...
Habar wakuu wa JF....
1) kwanza napenda kujua kwa wale wazoefu wa hii biashara ya kashata za karanga faida na hasira zake
2) pill naomba nipate darasa fupi La namna ya kuzitengeneza kwani...
Wapendwa wana jf, habari zenu!
Naomba kufaham bei ya korosho zilizo banguliwa (nuts) kwa kilo moja ni shiling ngapi hapa dar...bei ya jumla na rejareja...
Ifuatayo ni orodha ya mikoa kumi ambayo wananchi wake wana ahueni ya kipato hivyo muwekezaji/mfanyabiashara makini lazima uzingatie.
1.Dar
2.Dodoma
3.Arusha
4.Mwanza
5.Tanga
6.Morogoro
7.Mbeya...