Ewe kijana wa kitanzania hakuna njia ya mkato kwenye hili

Mwananchi wa chini

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
227
597
Nakumbuka forex, forever living na orifem zilivyowajaza watu ujinga wakipewa shuhuda feki wakaamini na kujitupia humo.
Leo wanajutia tamaa zao hahahahaaa.
Kijana Ontario aliwapiga pesa watu wazima wenye nywele zao nyeupe dogo akasepa.
Kama ni mfanyakazi Invest, kama mjasiliamali pambana,nk..Hakuna pesa ya Bure Dunia hii ya kikapitalist
 
Inamaana hili jukwaa huwa hakuna mengiene ya kujadili zaidi ya ONTARIO.

Kuna wenzako wapo wanatoa thread za njia mbalimbali kujipatia kipato ww mkuu bado unawaza kuhusu ontario.

Lakini unajua kuwa kwenye hiyo forex bado watu wanaendelea kuifanya na wapo wanowin na wanaopoteza pesa.

Kiufupi tuachane na mambo ya ONTARIO na forex kila mtu aachwe afanye anachoona kinamfaa.
 
kaka umeongea ukweli japo labda kwa kutaja jina la mtu wengine watakupingaa

kuna rafiki yangu alipigwa sound akiwa makumbusho na kampuni fulani ya hizo ishu kama sikosei ni am global mdada akasimama akatoa ushuhuda ndani ya miezi nane kapa M13 akanunua gari na mambo mengine yule rafiki naee akaja kuniambia nilimshauri usianzee bila ya kunisikia akaenda kutoa laki tano na machenchii umepita hadi mwaka hajarudisha na hiyo helaa

hao jamaa ni matapeli na wanajua vijana wa sasa nchini Tanzania wanapenda maisha ya juu na kwa harakaa kikubwa tupambanee ipo siku tutatoka.

hao wadau ukiwakutaga kwenye site zao kila mtu kala suti daaaah watanzania hatujafikia huko kudanganywa na mitoko hiyo MUNGU anawaona nyie matapelii
 
Nakumbuka forex, forever living na orifem zilivyowajaza watu ujinga wakipewa shuhuda feki wakaamini na kujitupia humo.
Leo wanajutia tamaa zao hahahahaaa.
Kijana Ontario aliwapiga pesa watu wazima wenye nywele zao nyeupe dogo akasepa.
Kama ni mfanyakazi Invest, kama mjasiliamali pambana,nk..Hakuna pesa ya Bure Dunia hii ya kikapitalist
Unafaa kuishi enzi za ujima kwa sababu una akili za kizamani (conservatism) this is new world bro, kama technology imekushinda kuitumia usipoteze watu tunaoweza kwenda nayo.
 
Iko hivi ...
Wenye akili kidogo wanatumia nguvu nyingi sana kutengeneza pesa kidogo
Wenye akili za kati wanatumia nguvu kidogo, akili kidogo kutengeneza pesa kidogo
Wenye akili nnyingi wanatumia akili sana kupata pesa nyingi ... hawa wanawatumia watu wengine kutengeneza pesa.
La msingi usikubali kutumiwa na wengine kutengeneza pesa .
 
Unafaa kuishi enzi za ujima kwa sababu una akili za kizamani (conservatism) this is new world bro, kama technology imekushinda kuitumia usipoteze watu tunaoweza kwenda nayo.
Yes! alipaswa kuishi zama za kale huyu!
 
Hapa mtu ukijaribu kuwaelekeza njia za kutengeneza hela ... wanakutukana na wanakuita tapeli.

Ukiweka tangazo lako ili uweze kupata cha juu .. matusi tena

Tunafika kweli? Wote hatuwezi kufanya kazi ya aina moja.
 
Nakumbuka forex, forever living na orifem zilivyowajaza watu ujinga wakipewa shuhuda feki wakaamini na kujitupia humo.
Leo wanajutia tamaa zao hahahahaaa.
Kijana Ontario aliwapiga pesa watu wazima wenye nywele zao nyeupe dogo akasepa.
Kama ni mfanyakazi Invest, kama mjasiliamali pambana,nk..Hakuna pesa ya Bure Dunia hii ya kikapitalist
Ila nkusahihishe bana hizo biashara zote ulizosema si utapeli ni biashara nzuri na zinalipa mno kifupi kila biashara inalipa vizuri sana.

Muhimu mtu asikimbilie kwenye biashara yeyote kisa kasikia inalipa sana. Fanya biashara ambayo unaona unaipenda na unaweza kuimudu.

Mfano mie kwangu nnaona biashara ya ufugaji na kilimo kwangu ndiyo ambazo haziniumizi sana. Ila hili halimaanishi kuwa kila mtu ataona sawa sawa na mie nnavyoona kwenye sector hiyo.

So ndugu punguza ushamba na usitake kuwaaminisha kila mtu aamini ujinga wako unaoamini wewe.

Ukae ukijua wote hatuwezi kuwa wafugaji au wakulima au traders au bankers au accountants au lawyers kwa wakati mmoja. Kila mtu atafanya kile ambacho Mungu kamjalia na ana uwezo nacho
 
Hahhaa haya maisha unaambiwa ukiliwa tafuta njia na ww ule wako hakuna alie kula akaacha kuliwa na raha ya kula ni kuliwa tu
 
Kwa taarifa za kunyapianyapia za kiintelijensia ndug ontario yupo SA anakula kipupwe baada ya kuwapiga viazi wa TZ
 
Nakumbuka forex, forever living na orifem zilivyowajaza watu ujinga wakipewa shuhuda feki wakaamini na kujitupia humo.
Leo wanajutia tamaa zao hahahahaaa.
Kijana Ontario aliwapiga pesa watu wazima wenye nywele zao nyeupe dogo akasepa.
Kama ni mfanyakazi Invest, kama mjasiliamali pambana,nk..Hakuna pesa ya Bure Dunia hii ya kikapitalist
Najua hiyo forex unayoiandika hata huijui vizur au ulijarib ikakushinda, dunia ya sasa pesa nying inapatikana kwny technology, vijana wale wawili waliofanikiwa kugundua tu Instagram kwa sasa wana utajir wa trillion 2 za kibongo, mark zuckenberg mwanzilish wa Facebook usiseme. Forex ni fursa kubwa sana kwa vijana wa kitanzania lakin niungane kusema forex aloiongelea Ontario ilikuwa na story nying za uongo, forex ni longterm investment. Vijana wa kibongo baada ya mwaka sasa mwanga umeonekana na wameanza Kupata hizo million 50 n.k. Najua hujafanya research vizur sasa usije na conclusion yako na kufanya vijana watanzania wenye uwezo na akili wasijaribu fursa hiyo. Naomba usijumuishe forex na hizo Q net sijui nn. Wewe endelea na biashara ya kuchuuza waache vijana wajarib fursa hii adhim
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom