Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Umuhimu wa nembo na maana ya nembo katika biashara ama chapa yako. [emoji843] Logo/Nembo ni nini? [emoji843] Nembo ni alama maalum inayokutambulisha sehemu fulani katika jamii, hiyo ni maana ya...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Naomba kujua nawezaje kuwa wakala wa gas kwa kampuni lolote MF.Oryx na Mihan.je wapi zilipo depot za kampuni za gas kwa jijini Dar
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Salaam Wadau, Tunakusogozea huduma zetu karibu yako zaidi kupitia ubunifu mpya katika ulimwengu wa kidigitali, NMB KLiK nama rahisi, salama na isiyo na usumbufu wa kuwa na huduma za kibenki wakati...
5 Reactions
42 Replies
13K Views
Wadau habari.. Mimi mwezi december nimepokea mkopo wa milion 18900000 kutoka crdb... Niliuza mkopo wangu wa nmb... Tulifanya calculation na loan officer ya fedha nazoweza kupata ikaja kwenye...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Salaam., natafuta mwekezaji wa kuwekeza chochote atakachoona kinafaa kulingana na eneo lilivyo. Eneo lipo Tanga, Pangani karibu kabisa na beach, ni mita 100 kutoka baharini(mita za serikali na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
By THISDAY REPORTER Dar es Salaam THE Chief Secretary, Philemon Luhanjo, has intervened to help convince Mlimani Holdings Limited carry on with the multi-billion shillings Mlimani City project...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
jamani eheee mimi mwenzenu kila nikiangalia vijana wenzangu walionitangulia naona wamerudi nyuma wakati nikifikiria kuhusu plan B katika maisha nimejaribu kuangalia jamaa zangu waliokuwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari, Hivi kwa mfanyabiashara anaeuza bidhaa nje ya nchi akitaka kulipwa kwa kutumia paypal afanyaje? Tanzania haiko listed kama unaweza ku receive money kwa paypal
0 Reactions
6 Replies
976 Views
Kwamba wewe unaenda kiwandani unachukua mzigo kwa jumla let us say tani moja ya Sundrop au Blue band au pipi whatever,unaenda mtaani kutafuta wenye maduka ya rejareja unawauzia kwa bei ya jumla...
3 Reactions
13 Replies
7K Views
Nina hicho kiasi cha pesa,nataka nikanunue simu China niuze mkoani,je itanilipa?nipeni uzoefu wenu.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Jamani naomba kujua process na gharama za kufanya usajili wa kampuni ya media (online media)
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Source: NEWS ALERT: NDEGE MPYA AIRBUS A220-300 IKIWA TAYARI KULETWA TANZANIA KUTOKA CANADA - ZanziNews NEWS ALERT: NDEGE MPYA AIRBUS A220-300 IKIWA TAYARI KULETWA TANZANIA KUTOKA...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
UTANGULIZI Kwanza kabisa nitoe angalizo vyote nitavyo viongea kwenye thread hii sijalenga kampuni yeyote(ndio maana sitotaja jina kabisa la kampuni yeyote) bali huu ni uchunguzi binafsi nilio...
4 Reactions
39 Replies
10K Views
Habari wana jf naambatanisha na screenshot kutoka account yangu na nimeacha ubini tu wa kitanzania Ili ujulikane kweli ni account yangu mimi mtanzania. Nikiwa mdogo sana nilikuwa naamini kuwa...
14 Reactions
79 Replies
10K Views
Habari zenu wapendwa, Nahitaji ushauri hasa kwa wazoefu au wamiliki wa noah na hiece katika mkoa wa moshi na Arusha je ni root ipi nikiweka hoan au hice bas pesa itakuwa ya uhakika? Maana kuna...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Tanzania na Rwanda zips katika hatua ya mwisho ya makubaliano ya kupanua mradi wa reli ya kisasa 'SGR' itokayo Isaka, Tanzania hadi Kigali , Rwanda na sasa itaongezwa hadi Rubavu mpakani mwa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wana if.... Naomba kujuzwa kwa yoyote mwenye uelewa kuhusiana na biashara ya maziwa ya ng'ombe kuanzia lita 100 mpaka mia tano je mtu unaweza anzisha small firm ya package...
3 Reactions
3 Replies
3K Views
Huu mradi uliwahi kujadiliwa humu jamvini siku za nyuma lakini ilwekwa jukwaa la Siasa na ilijadiliwa kisiasa zaidi na uzi ukapoteza mwelekeo. Hivi sasa dalili zinaonyesha kuelekea kwenye...
4 Reactions
42 Replies
17K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…