Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Chuo nilimaliza mwaka 2017 pale ruaha Catholic Kulikuwa na duka home kutokana na uongozi mbaya likafilisika wakalifunga....nilikuwa na laki 5 tu nilipoamua kulifungua upya(nnadhan mnajua kuwa...
28 Reactions
72 Replies
9K Views
Financial securities (Financial instrument/Financial asset) au Dhamana ya fedha ni mikataba ya fedha yenye thamani ya pesa na yenye uwezo wa kuuzika kati ya washirika wawili. Inaweza kuwa fedha...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Mgogoro wa kifedha 2008 (mporomoko wa uchumi) ulianzia nchini Marekani then kusambaa kwa mara ya kwanza katika nchi za Ulaya baadae Asia na mwishowe Africa. Baada ya miaka mingi ya kukuwa na...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Sorry guys nataka niwe nazungusha nguoo za kike za mitumba vyuoni je inaweza kunisaidia na kunifikisha sehemu nzuri...maana nimemalizaa chuo mpaka Sasa ajira. Ngumu.. Ushauri wadau Sent using...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Hello members, Nipo mkoani nina deal ya kuanza kurangua ng'ombe then nipeleke dar kwa aim ya kuwauza. Wenye kujua changamoto zake pls naomba kujuzwa. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Nauliza kama inawezekana kutumia Jina Tanzania kwenye Biashara, Kwa mfano huwa naona Kenya Commercial Bank(KBC), Kenya Air Ways(KQ). Kwa Tanzania hili linakubalika?
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Salute, mwezi wa pili nataka nijaribu kufanya biashara ya mayai ya kienyeji kutoka Singida hivyo kwa wazoefu wa hizi mambo kule Singida vijijini bei za tray za mayai zinauzwaje na changamoto zipi...
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Naombeni ushauri je ununuaji wa hisa unalipa maana kuna bank inauza hisa 265 tsh hisa moja je inalipa na wataka ununue hisa kwanzia 100 je naombeni ushauri ununuaji wa hisa unalipa Sent using...
0 Reactions
1 Replies
832 Views
Msije sema hamku tahadharishwa! Kinachotokea ni hiki hapa: unanunua line iliyosajiliwa kwa jina la mtu mwingine, nawe kuanza kuifanyia biashara. Nimesikia ( sina uhakika) kinachotokea ni kwamba...
2 Reactions
9 Replies
9K Views
Wana jamvi naomba niwasilishe mada hii kama kijana ambae nataka na napenda sana kufanya biashara changamoto kubwa niliyokua nayo. 1. Ni biashara gani ya kufanya 2.eneo la kufanyia biashara...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeshangaa sana kusikia tangazo la Tatu Mzuka ambalo jamaa anamshanga muuza duka kujaza vitu dukani na anamwita ni Freemason. Yaani nyie Tatu Mzuka mnawezaje KULINGANISHA UTAJIRI NA FREEMASONS...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mara nyingi kwa level ya taifa kuna baadhi ya sector za biashara zinaonekana kama ndo zina msaada mkubwa kwenye uchumi wa nchi.. Kwa wana JF w unavozan n sector gan zina mchango mkubwa katika...
0 Reactions
2 Replies
881 Views
Habari zenu, wapendwa Nina Noah yangu nataka kufanya biashara ya kubebea abiria ndani ya mkoa Wa dar ukiacha kwenda mjini ni njia gani naweza kubebea abiria mfano kama kimara Na goba au maeneo...
0 Reactions
21 Replies
48K Views
Habarini Wanajf! Bila kupoteza muda naomba mwenye uelewa wa hatua za kufuata ili kupata mkopo wa biashara katika Benki ya NMB.Mimi ni mjasiriamali,ninataka nikope ili niongeze Mtaji.Msaada wenu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kuna mahala nimepata pakuweka daycare centre na watoto ni wengi kiukwel sasa wasiwasi wangu ni kugombana na serikal. Naomben msaada procedure za kufata nisajili daycare. Niende wap? Nahitaji...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari wanajukwaa, Natumai mwaka tumeuanza Salama Salmini.Mwanzoni mwa mwaka mambo hua mengi baada ya mapumziko kuna Ada za Watoto kuna mambo ya Kodi na kadhalika, Inabidi kujipanga vizuri...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Kama uandaaji wa vitabu vya kodi kwa upande wa mfanya biashara je huandaliwa sawa na vitabu/makabati (samahani kwenye A/C ndivyo tulikuwa tunaziita) vya/ya income statement na balance sheet ?? Na...
0 Reactions
1 Replies
924 Views
Wakuu Sina mengi ya kuwachosha nipende kuchukua fursa hii kuwapa Hamasa ndugu zangu; kaka zangu, Dada zangu, mama zangu, Baba zangu nk. Kama Kuna mtu Ana softcopy ya kitabu cha poor dad rich dad...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarin wakuu Kwa anaefaham nauli ikoje anifahamishe kutoka lusaka(zambia) had gaborone(botswana) pia maisha ya botswana yako vp kiujumla,karibun Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
631 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…