Nataka kuanza kuzungusha mitumba ya kike vyuoni

nyachia

Member
Mar 17, 2015
43
3
Sorry guys nataka niwe nazungusha nguoo za kike za mitumba vyuoni je inaweza kunisaidia na kunifikisha sehemu nzuri...maana nimemalizaa chuo mpaka Sasa ajira. Ngumu..
Ushauri wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unapatikana wapi nkuelekez kitu cha kufanya? Ili uendane vzr na mahitaji ya wanachuo, pia bei chee si unajua wanafunzi walivyomabairi af wapenda vzr?!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry guys nataka niwe nazungusha nguoo za kike za mitumba vyuoni je inaweza kunisaidia na kunifikisha sehemu nzuri...maana nimemalizaa chuo mpaka Sasa ajira. Ngumu..
Ushauri wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza naomba nikupongeze sana chief.....
Kwa jinsi ulivyo jieleza, naomba nisiandike mengi na kujaza saver ya Melo.
Naiona kesho yako kwa karibu sana ukifanikiwa kwa kasi ya ajabu, na kwa wazo lako la kuweka vyeti na bahasha pembeni kisha kuingia sokoni na kutafuta walaji.......
Naomba nikupongeze tena, na hakika naona kama tayari umesha fanikiwa kwenye hatua ya kwanza kwa kujikubali.
 
Kama unaweza iko poa tu,

Maana kubagua kazi ndo maana watu si wengi walio fikilia kama wew,
.kama kupaka kucha rangi, kama hii kazi unaweza kujitoa, unajipatia kipato kama kawa.

So ni wew tu utayar wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo dodoma kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Chief umeziona hizo Boksa.......kkoo ni sh 3500 bei ya jumla, ili uwe Na pic 100 inatakiwa uwe Na 350000, ukiuza kila moja 5000 utapata500000 faida ya 150000 , ukiondoa usafiri imagine laki ndio faida.......hizi boksa ni Nzuri!!!!! Mimi mwenyew natembeza chuo ila dar
IMG_20190105_094609.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubaya wa mitumba ya kutembeza inachoka haraka , then kuchafuka lkn kitu cha duka kunakuwa kipya....hivyo hakichok haraka!!!!!!! U need to save 50 people ili boksa ziishe, af Udom ina watu kum Na sita elfu!!!!!! Njoo DM Kama utapenda nikusaidie namna ya KUZIPATA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza naomba nikupongeze sana chief.....
Kwa jinsi ulivyo jieleza, naomba nisiandike mengi na kujaza saver ya Melo.
Naiona kesho yako kwa karibu sana ukifanikiwa kwa kasi ya ajabu, na kwa wazo lako la kuweka vyeti na bahasha pembeni kisha kuingia sokoni na kutafuta walaji.......
Naomba nikupongeze tena, na hakika naona kama tayari umesha fanikiwa kwenye hatua ya kwanza kwa kujikubali.
Ansante kk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo watu wengi huwa wanauza kwa bei ya juu sana..ndo mana wengi ni makajanja....kuna jamaa walikuwa wanatembeza shati za mtumba hostel za vyuo....shati ya 2000 wao wanauza 12000 .... Mwisho wakasanda..punguza bei kdog ili mtu aone hakuna uhtaji w Kwenda mtumbani..mzgo utakuwa unatoka fasta na utajipatia customer wako costant...badae unakuwa unawapandishia kdogkodg, ...sio unaanza tu bei juuu ukiamini watu wana hela za kukupa tuu...sa hv hela ya mtu mpak upige calculation za maana kuipata
 
Chief umeziona hizo Boksa.......kkoo ni sh 3500 bei ya jumla, ili uwe Na pic 100 inatakiwa uwe Na 350000, ukiuza kila moja 5000 utapata500000 faida ya 150000 , ukiondoa usafiri imagine laki ndio faida.......hizi boksa ni Nzuri!!!!! Mimi mwenyew natembeza chuo ila darView attachment 988673

Sent using Jamii Forums mobile app
boksa biashara ngumu mkuu maana wanaume hawavaagi chupi nakumbuka nilichukuaga boksa za JM nilipata tabu kuziuza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom