Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Mkopo NMB : Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil !
Umaskini hauishi kamwe.
======
UPDATES:
Umaskini hauishi kamwe.
======
UPDATES:
Hello Hivi punde,
Pole kwa tatizo lililokukuta,tafadhali tunaomba taarifa kamili za mkopo wako, tawi walipokusaidia kupata mkopo na mawasiliano yako unayopatikana ( namba za simu ) tuweze kufuatilia na kutatua changamoto zilizopo,
Tafadhali tutumie PM tukusaidie.
Asante sana