Wajasilia mali

Newera

Senior Member
Mar 8, 2017
132
202
Naoembeni mwenye uzoefu wa vinywaji vya jumlana rejareja kama soda na maji naomba kujuzwa faida, changamoto zake na soko lake
 
inategemea upo eneo gani na unanauziwaje hizo bidhaa kwa mfano sisi tuliopo kanda ya ziwa soda za pepsi tunauziwa kreti elfu kumi hii ni kuligana na mahali nilipo maji mfano jambo tunauziwa elfu tisa mia tano dew drop tunauziwa elfu kumi kwa katoni kwa hiyo faida unakuta ni elfu mbili au elfu mbili mia tano
ila kama upo sehemu nzuri ambapo unaweza hata katoni tano za maji na vinywaji ukauza hata kreti tano faida
utaiona ila kama katoni moja siku tatu achama nayo utakula hasara tu
 
PEPs kret 9000 wew unauza 9500coca kret 9500, wew unauza 10000, kwa dar lakini,maji Lita moja masafi,afya,hill na n.k ni 2300, kuanzia katoni 50, NB, hii biashara inazingua kwa sasa kwa maana watu was PEPs wa kwenye maar wanauza bila kufuata utaratibu hivyo wanauza hata cret moja mtaani,so wanaharibu soko, na coca hivyo hivyo,so wateja badala ya kununua kwako wanaenda kwa wenye magar.asante
 
Haws PEPSI kiukweli syo wastaarabu, ila naamini wanafanya hvyo ktk maeneo ambayo hakuna wakala wa pepsi

Back
Top Bottom