Business loan

Di Ara

New Member
Aug 11, 2018
3
45
Hello buddies
Naomba kuuliza kama kuna entity yoyte au group fulan or individual ambayo wanaoffer loan kwa pharmacies business, nina uhitaji huo
 
mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
5,552
2,000
Hello buddies
Naomba kuuliza kama kuna entity yoyte au group fulan or individual ambayo wanaoffer loan kwa pharmacies business, nina uhitaji huo
Mikopo ya biashara ipo but iko very complicated.mkopo rahisi kuchukua ni wa kutumia gari au kiwanja iwe dhamana yako.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom