tereweni
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 618
- 362
CRDB wamepandisha riba ya junior jumbo; akaunti ya mtoto ni asilimia 4%.
Nafikiri hii ndo benki nzuri ya kumfungulia mwanao junior jumbo, nasikia iyo akaunti haina chaji kabisa withdrawal or monthly maintanance fees kama hizi saving a/c;
Ahsanteni CRDB ntakuja kumfungulia dogo langu.