Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habarini ndugu,naomba kama MTU anafahamu kuboost Facebook page maana nilikwenda benki wakaniambia niingize security code lakini ile nilikuwa na code 10 wakati ile sehemu ya kuboost zinahitajika...
0 Reactions
2 Replies
631 Views
habar wana jf...kwanza natanguliza shukuran.. waungwan me kijan nimepandan nimepat mtaji ingawa sio mkubwa sana lkn nzan nawez kuanza na hichi kidog nilichonacho...nilikuwa na wazo la kuuza sigar...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
*GHANA SHIFTS ATTENTION FROM TAX DRIVEN ECONOMY TO PRODUCTION DRIVEN ECONOMY* While some African countries are considering increasing Value Added Tax (VAT) also known as Goods and Services Tax...
2 Reactions
4 Replies
888 Views
Wadau naomba kujuzwa kampuni inayosafirisha vitu kutoka Dar - Mbeya . Ni vitu vya ndani vipo kidogo tu.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama picha inavyojionesha ndugu, wenye uzoefu na ujuzi nipeni maoni na ushauri, taie home 500
7 Reactions
279 Replies
31K Views
wasalaam, kama heading inavyojieleza ka yeyote anayefahamu hatua za upimaji wa adrhi na gharama zake. nimauliza hivi kwa sababu mimi nipo mbali na ofisi za ardhi halmashauri, hivyo kwa yeyote...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu Tunauza chenga za mchele Grade A kwa wakazi wa DSM tunakuletea dukani kuanzia tani moja, Bei yetu ni tsh 850, ukiihitaji uletewe sample ilu uagize mzigo njoo pm tupeane namba
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanajopo natumai niwazima, Kama kichwa kinavyo jitambulisha mi NATAKA kuanza kufanya biashara ya duka kuuliza bidhaa za electrical na electronic sa nahitaji mnijuze kwenu nyinyi ambao mnafanya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Soko la ubadilishaji wa fedha ni soko kubwa na lenye nguvu zaidi ya kifedha ulimwenguni NA Uwezekano wa wewe kupata pesa nyingi ni mkubwa. Nini kinachofanya biashara ya biashara ya forex hata...
12 Reactions
41 Replies
21K Views
Je kuna sheria yoyote au taratibu za kufuata pale unapotaka ku lunch application play stores ili kuitumia kibiashara... Nawasilisha wadau
0 Reactions
4 Replies
875 Views
Ukiwa na £2M na business plan wanakupa Indefinite Leave to Remain. Hii ilianzishwa na David Cameroon kushawish wawekezaji wengi kuingia Uingereza. Wengi wanaopata visa hii ni Warusi na Wahindi...
10 Reactions
127 Replies
9K Views
Ikiwa ni siku ambayo Waziri Mpango anawasilisha Mwelekeo wa hali ya Uchumi mwaka 2018 na mpango wa maendeleo ya Taifa 2019/2020 pia hali ya ukuaji wa Uchumi na maendleo katika nchi za Afrika...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Naimani weekend imeanza vyema kwenu. Najua Jf hakushindikani kitu, wapo watu wanaofahamu mambo tofauti fofauti na wanaweza kuwa msaada kwa wengine. Mwanzo niliipongeza sana serikali(kimoyomoyo)...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasomi Vijana, mliosoma elimu kubwa za madigrii na Masta tumekosa ubunifu hakika. Yashangaza sana, Kijana umesoma IT, Umesoma Engeneering, Uhasibu eti unakuja Mtaani unawaza Kufunga Banda la...
49 Reactions
225 Replies
31K Views
Swala la kujiamini linatufelisha sana kufikia malengo mfano mzuri ni mimi mwenyewe nilikuwa muoga sana kuanzia toka nilipokuwa shuleni, hata kama swali jibu lake nalifahamu sitaweza kunyoosha...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Habar zenu Niko Zanzibar kutafuta fulsa za kibiashara.. Kwa ninavyo fahamu Zanzibar vitu vya electronics kama simu wana sema bei ziko chini... Naomba kujuzwa fulsa zingine za biashara zilizoko...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Sasa namuelewa sana JPM ! Jamani mtaani kuna pesa nyingi sana ambayo haina pa kwenda. Inatafuta mwenye uhitaji , ipo nyingi sana. Ukiwa mbunifu (creative), mjanja na mhangaikaji hukosi pesa ...
15 Reactions
125 Replies
11K Views
Utangulizi Heko Mpendwa wetu Daktari JPM, Huu ni mchango wangu kwa Taifa langu, ambao ni imani yangu kuwa nautoa kwa muda mahususi na kwa Mtu mahususi aliyeteuliwa na Mungu kulivusha Taifa lake...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Ndgu wadau nahtaji kufanya biashara ya mchele kuuza kwa bei ya jumla hapa jijini MWANZA, nauliza kwa wenye uzoefu n chimbo gan ambalo naweza kuwa nakusanya mzigo kwa bei nzur ambayo itafanya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kumekuwa na mafunzo kila kona na watu wanafunimdishwa ujasiriamali kwa mujibu wa wafundishaji. Ila Ujasiriamali wenyewe sijui unaweza ku eveluate vipi kwamba sasa huyu kawa mjasiriamali. Ili...
5 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom