Bei za mashine za kusagia juice ya miwa

vanyboey

New Member
Jul 10, 2019
1
0
anaejua bei za mashine za juice ya miwa jaman msaada za kutumia umeme na ambazo so za umeme
 
milioni 1.2 iwe y umeme au genereta.nenda kariakoo.wananza 1.4,ukishuk nao 1.2, unachukua,,wanatengeneza wale jamaa,hizo no zile ambazo hazin kibanda ,zenye kiband ni 2.2 mpaka 2.0.asante
 
Back
Top Bottom