Kwa aliyepo Mwanza tujuzane Masoko na being za kuku wa kienyeji

kajekudya

JF-Expert Member
Sep 24, 2015
1,178
2,000
Wakuu mimi nipo vijijini huku, mji mkubwa ambao nipo karibu nao ni Mwanza. Sasa nataka nijaribu bahati kwenye biashara ya kuku wa kienyeji, niwe nawaleta mwanza.
Tafadhali kama kuna anayeweza kunijuza masoka hapo na bei zipoje.
 

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
May 11, 2015
22,918
2,000
Sipo huko ila navyojua kuku wa kienyeji wana soko na la uhakika cha msingi jaribu kutafuta oda mahoteli na kwenye migahawa mbalimbali.
 

Chiqa

Member
Jul 19, 2017
77
150
Wasiliana na huyu, 0746 358933 ana uzoefu na hiyo biashara! Utanishukuru baadae
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom